Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Hujaitwa kuja hapa,dharau zako peleka kwenye Uzi mwingine,wewe ni mtu mmoja mbaya sana,una wivu Na ujinga mwingi sana.nani aliyekupa kazi ya kuwa editor hapa?
Ukijiuliza curriculum aliyekuwa anafanya fujo Jana alipo utapata akili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nadhani unahisi pengine na wewe labda una gawio lako hapa jamii forums au sio?

Hapa kila mtu yupo huru kutoa michango yake ila tu asitumie lugha zisizofaa kwa wachangiaji wengine.

Pia huyu binti Faiza huwa ana hiyo tabia ya kukosoa wachangiaji mara kwa mara ,sasa kwa nini na yeye tusimkosoe?.
 
Nasubiri maswali. Au kuna yaliyonipita? Maana uzi unaendelea mwendo kasi.
Jibu na yakwetu uyu dj mizinguo sana anahodhi mjadala alafu anaenda speed yakinyonga.



Swali langu ni kwann awamu hii umepowa sana hautumii nguvu nyingi kutetea serikali ya Magufuli kama ulivyokuwa unatetea serikali ya Jakaya? nini kimekusibu?
 
Alahuuu akibaruuu nimechelewaa
Joanaaaah mupenz mbona hujanistua..
 
Unaweza Fanya hivyo akiwa nyuzi zingine kumbuka hapa kuna watu wanafuatilia kimya tena ndio wengi,unaweza ona viewers.
 
Nasubiri maswali. Au kuna yaliyonipita? Maana uzi unaendelea mwendo kasi.
Jibu na yakwetu uyu dj mizinguo sana anahodhi mjadala alafu anaenda speed yakinyonga.



Swali langu ni kwann awamu hii umepowa sana hautumii nguvu nyingi kutetea serikali ya Magufuli kama ulivyokuwa unatetea serikali ya Jakaya? nini kimekusibu?


Swali la pili: Unaonaje utawala wa Magufuli? unahisi anatupeleka sehemu sahii sisi taifa la tz?
 
So fresh kabisa kutuambia baadaye ni ubaguzi huo, angejibu tu maswali ya kila mtu hapa.
Kweli kabisa mkuu...embu pata picha unauliza swali badae unaambiwa hilo nimeshajibu?? Kuna shida ipi tukiuliza hapa na akajibu hapa hapa..? au kwa mfano unauliza swali sasa hivi kwa thread inavyokwenda kasi unadhani ataona yote na ayajibu yote mkuu hapo baadae??
 
Watu nnaoshindwa kuchanganyika nao ni wale wanaojisifia dhambi zao.

Mfano mtu anajisifia kutoka nje ya ndoa au kuiba na kama hayo.

Watu kama hao huwa najiepusha kabisa.
nnaoshindwa [emoji735]

ninaoshindwa [emoji736]

"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…