Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo ulikuwa unapika chapati[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo ulikuwa unapika chapati[emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie cuzooCuzoo
Hivi ww huwa ni KE??So fresh kabisa kutuambia baadaye ni ubaguzi huo, angejibu tu maswali ya kila mtu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujaitwa kuja hapa,dharau zako peleka kwenye Uzi mwingine,wewe ni mtu mmoja mbaya sana,una wivu Na ujinga mwingi sana.nani aliyekupa kazi ya kuwa editor hapa?
Ukijiuliza curriculum aliyekuwa anafanya fujo Jana alipo utapata akili.
Nilikuwa napika vitumbua[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo ulikuwa unapika chapati[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa msumbufu weweHivi ww ni KE??
Naona ndio umeachiwa cuzooNiambie cuzoo
Na ww team ubuyu??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo nimechelewa zote nalazimika kudandia gari kwa mbele.
Jibu na yakwetu uyu dj mizinguo sana anahodhi mjadala alafu anaenda speed yakinyonga.Nasubiri maswali. Au kuna yaliyonipita? Maana uzi unaendelea mwendo kasi.
Watu nnaoshindwa kuchanganyika nao ni wale wanaojisifia dhambi zao.Binadamu tuko Na tabia tofauti tofauti tabia gani zinakupa ugumu kujichanganya Na watu !
Na kwa vipi unakaribiana nazo.
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Nahsi sio Jose mwenyewe mwenyewe
Unaweza Fanya hivyo akiwa nyuzi zingine kumbuka hapa kuna watu wanafuatilia kimya tena ndio wengi,unaweza ona viewers.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nadhani unahisi pengine na wewe labda una gawio lako hapa jamii forums au sio?
Hapa kila mtu yupo huru kutoa michango yake ila tu asitumie lugha zisizofaa kwa wachangiaji wengine.
Pia huyu binti Faiza huwa ana hiyo tabia ya kukosoa wachangiaji mara kwa mara ,sasa kwa nini na yeye tusimkosoe?.
Jibu na yakwetu uyu dj mizinguo sana anahodhi mjadala alafu anaenda speed yakinyonga.Nasubiri maswali. Au kuna yaliyonipita? Maana uzi unaendelea mwendo kasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23]vikiiva niiteNilikuwa napika vitumbua[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usinipangie.Unaweza Fanya hivyo akiwa nyuzi zingine kumbuka hapa kuna watu wanafuatilia kimya tena ndio wengi,unaweza ona viewers.
Kweli kabisa mkuu...embu pata picha unauliza swali badae unaambiwa hilo nimeshajibu?? Kuna shida ipi tukiuliza hapa na akajibu hapa hapa..? au kwa mfano unauliza swali sasa hivi kwa thread inavyokwenda kasi unadhani ataona yote na ayajibu yote mkuu hapo baadae??So fresh kabisa kutuambia baadaye ni ubaguzi huo, angejibu tu maswali ya kila mtu hapa.
nnaoshindwa [emoji735]Watu nnaoshindwa kuchanganyika nao ni wale wanaojisifia dhambi zao.
Mfano mtu anajisifia kutoka nje ya ndoa au kuiba na kama hayo.
Watu kama hao huwa najiepusha kabisa.
Na mimi uniite ukiitwa[emoji23][emoji23][emoji23]vikiiva niite