Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wewe kweli mweupe kichwani.Binafsi naichukulia kama shirki tu.
Uchawi upo na mashetani wapo.
Unaelewa kweli maana ya shirki(ushirikina)?
Kwa hiyo kumshatakia Mungu siku hizi ni shirk?
Unapoelekea utasema hata kusoma Ruqya nayo ni shirk[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]