Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Binafsi naichukulia kama shirki tu.

Uchawi upo na mashetani wapo.
Wewe kweli mweupe kichwani.

Unaelewa kweli maana ya shirki(ushirikina)?

Kwa hiyo kumshatakia Mungu siku hizi ni shirk?

Unapoelekea utasema hata kusoma Ruqya nayo ni shirk[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Nimefutilia Uzi huu tangu mwanzo.Nilichokigundua ni wivu uliopitiliza kwa baadhi ya wachangiaji.Kuna vijana wameanza kumchukia kwa kasi Muosha rungu.Wanaona pengine interview anazoziandaa zinazidi kumletea umaarufu.Ndio maana wanajitahidi kuleta mizaha kwenye interview ili zionekane hazina maana!!!Nakuomba uwapuuze mkuu wengi ni utoto tu unawasumbua wakikuwa wataacha.
Asante mkuu kwa kuliona hilo,ukimuondo yule curi,wengine wote hawana utoto ni watu Na ma..vu..shi yao ila tu
Miti wenye matunda ndio hupopolewa mawe!
Kuna baadhi ya watu inabidi nianze kutathimini heshima ninayowapa kama wanastahili.
 
FaizaFoxy mimi nauliza maswali kadhaa tu ya mwisho kwa kuwa yale mengine umenijibu vyema..Nimevuta subra kama ulivyosema..

Sasa maswali yangu ni haya..

1: Unachukuliaje suala la Malezi ya watoto hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi? Uonavyo wazazi wanatimiza wajibu wao ipasavyo??

2: Kuna dhana imejengeka kwenye jamii yetu kuwa Mwanamke akipata elimu anakuwa na kiburi/majivuno na kumuona mumewe hafai, wewe unaonaje hili suala ni sawa au sawa? Je wewe limeshakukuta??

3: Ni kweli kuwa baadhi yenu nyie wanawake hampendani ninyi kwa ninyi?? Nini huchangia hili??

4: Ukipewa nafasi ya kuongeza/kupunguza kitu hapa JF ungeongeza nini au kupunguza nini...je unawashauri nini wamiliki wa mtandao huu pendwa??

5: Unawashauri nini vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mikato (shortcut)??

Na mwisho kabisa unapendelea kufanya nini upatapo muda wa ziada..

(Mimi maswali yangu ni hayo tu, ukinijibu nitashukuru sana, asante)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ww ni nani unamchagulia mtu cha kuandika humu, hii ni 'user generated content' ka google maana yake


Kipi kilichokusibu au alikunyang'anya mume mwenzako[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na nikukumbushe tu its CURICULLUM NOT CURRICULUM put that in yo skull[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sipati picha siku ukifahamu mm ni Mod[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF hakuna moderate mjinga kama ww
 
Back
Top Bottom