Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

FaizaFoxy mimi nauliza maswali kadhaa tu ya mwisho kwa kuwa yale mengine umenijibu vyema..Nimevuta subra kama ulivyosema..

Sasa maswali yangu ni haya..

1: Unachukuliaje suala la Malezi ya watoto hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi? Uonavyo wazazi wanatimiza wajibu wao ipasavyo??

2: Kuna dhana imejengeka kwenye jamii yetu kuwa Mwanamke akipata elimu anakuwa na kiburi/majivuno na kumuona mumewe hafai, wewe unaonaje hili suala ni sawa au sawa? Je wewe limeshakukuta??

3: Ni kweli kuwa baadhi yenu nyie wanawake hampendani ninyi kwa ninyi?? Nini huchangia hili??

4: Ukipewa nafasi ya kuongeza/kupunguza kitu hapa JF ungeongeza nini au kupunguza nini...je unawashauri nini wamiliki wa mtandao huu pendwa??

5: Unawashauri nini vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mikato (shortcut)??

Na mwisho kabisa unapendelea kufanya nini upatapo muda wa ziada..

(Mimi maswali yangu ni hayo tu, ukinijibu nitashukuru sana, asante)

FaizaFoxy [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375]
 
Unadhani tunaendesha interview kiholera?
Lazima kuwa Na host Na hosted!
Kila mtu akiuliza swali unafikiri hosted atakuwa Na hali gani?
Utaratibu ni kuwa maswali ya audience yanajibiwa baadae!
Kama Faiza haonekani labda kapata dharura kwa sasa.
Kwa vile tuuu Lissu anaumwa[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Back
Top Bottom