Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Kumbe hata faizafoxy nae amefikia kiwango cha kutafutiwa kiki.
 
Nibora ufe fukara kuliko kujidhalilisha kama ulivyofanya wewe
 
Nakupenda mama yangu FaizaFoxy ,kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu nakupenda li-Llahi.
 
Sasa hivi upo huko ukwereni unapalilia mihogo
 
Kwamba huyu mwana mama ana uwezo wa kupangua hoja za wanaume 1000!!? Aisee

She's kinda smart lakini hiyo exaggeration hapo is outright nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…