FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Mwanaume ambaye silaha yake ni kashfa na kununa pindi anapoambiwa kakosea huwa ni kukosa kujiamini au ni uanaume?
Mwanamke ambaye akiwa cheated analipiza ni mashindano au nikukosa kujithamini? Faizafoxy
 
Faiza mie nataka niombe talaka kwasababu baba watoto,amegoma kulipa Ada,ananambia nilipe Mimi,eti ni mwajiriwa,wakati naye ana kampuni inayomlipa vizuri,na Mimi nilishirikia kuanzisha hiyo kampuni
Nataka niwachukue wanangu,afu kila mtu achukue njia yake,na majina niwabadili niwape ubini wa nyumbani kwetu🙏 FaizaFoxy over to you,mama ushauri.
Mmeowana kwa ndoa ya dini ipi, au mmebebana tu?

Kiislam, hicho siyo kigezo cha kudai au kutowa talaka. Pia Kiislam huwezi badili ubini wa mtoto. Labda awe ni mtoto wa nje ya ndoa ambae hana urithi kwa baba kisharia.

Mlioanzisha kampuni mlifata sheria za makampuni na kila mtu anapata "dividends" zake kisheria ya makampuni, au mlifanya kienyeji tu?

Mwezi huu wa ada huwa mgumu sana kwenye majumba. Nikipata majibu ya maswali niliyokuuliza naweza kuja na ushauri mzuri. Sthamili kidogo, usifanye maamuzi ya haraka haraka.
 
Una uhakika na ulichoandika au umejitungia tu kichwani mwako. Kama una uhakika weka ushahidi

Weka ushahidi. Yanini uandikie mate na wino upo?
Nakupa mfano wa ndoa zilizokuwepo kabla ya dini ya uislam na ukristo,1.Ndoa ya Yakobo(Israeli) na Lea 2.Ndoa ya Ibrahim(Abraham) na Sara 3.Ndoa ya Isaka na Rebeka,hizo ni ndoa zilikuwepo kabla ya ukristo na uislam na wote hao walikuwa ni waebrania
 
...Inaendelea:

"Haya mkae salama, nadhani sitorudi leo". Hilo la siku zingine kutokurudi mama hata wiki, lilikuwa kawaida kabla hata hawajahamia flat ya Kariakoo, si unajuwa singo mama wa mjini tena bado kijana.

Mambo yakawa yanaendelea hivyo, mama akionekana siku moja, wiki, wiki mbili haonekani, binti nae akawa analea kitoto chake mpaka kinaanza kutembea, siku hiyo mama kaja kwa binti yake akamwambia "mwanangu hapa kwenye flat yako kodi inakwisha karibuni, inabidi ujitayarishe kuhamia nyumbani kwangu, badala ya kuendelea kulipa hapa na mimi nyumba kubwa.

Binti kidogo akastuka, mama kodi hapa sijuwi inakwisha lini na shillingi ngapi, analipa mwenyewe baba...

Itaendelea, In shaa leo tutaimalizia.

...Mama wewe umejuwaje kodi inakwisha?
...Inaendelea:

Mwanangu, kaa chini, relax nikueleze.

Basi binti akakaa, mama akaanza; mwanagu wakati u mjamzito nilimhisi huyu mpenzi wako kaanza kubadilika, nikafikiria, hivi siku akiamuwa asili[pe kodi hapa, tutakwenda wapi? Nikasema ngoja nijitahidi niokowe jahazi.

Nikaanza kumfanyia vitimbi bila wewwe kuhisi. si unajuwa ujauzito wako, miezi mitatu ya mwisho muda mrefu ulikuwa unapumzika?

Nikatumia fursa, kijana akjaa tele, nikamnyima kabisa mchezo lakini nikawa namfanyia mambo na visa vingine nikajuwa huyu hachomoki, mpaka alivyojaa sawasawa, akawa ananiomba utamu mpaka macchozi yanamtoka, nikaona huyu, akipata mijipapa ya Dar haimuwachi, tutamkosa. Nikamwambia "mimi ntakupa na mwanagu unae, na wanawake wengine ntakutafutia, umtakae ntakuletea, kwa sharti moja tu. Uninunulie nyumba.
Nikafanya nnayo yajuwa kijana wako akasema tafuta nyumba haraka sana. Na imi sikufanya ajizi, nikatafuta madalali, madalali hawakuniagusha siku hiyohiyo wakanambia zipo nyumba nyingi tu, pesa zako tu.

basi binti yangu tukaenda kuzitazama nikaipend moja, ingawa ilikuwa ya kubomowa yote lakini nikaona hii imekaa mtaa mzuri na nisicheleweshe, nikamwambia kijana, nyumba imepatikana na bei yake. Akasema mimi ntraamini vipi uliyoyasema, nikamwambia leo hii ntakuonesha, twenda, nikatoka nae nikaenda mpka kwa kina fulani pale, si unajuwa wala walivyo wazuri? Yeye nimemwacha kwenye gari, nikaingia nikaongea wakatoka wawili na mimi mpaka kwenye gari, nikawaambia pandeni tuka Ice cream. Wakapanda tukaenda town, tukala ice cream tukarudi, tukawashusha, nikamwambia kijana sema yupi ulimpenda katika hao, akasewma wote wazyri wanfaa. Nikamwambia hao muda wowote tumalizane la nyumba kwanza, huku namfanyia vituko ndani ya gari. Tunafika hapa kwako chini ananirudisha yupo hpoim akasema kesho tunanunuwa nyumba, kwanza sikuamini.

Siku ya pili si mapema tu kaja tukaenda kununuwa nyumba tena kwa jina langu. Ikabidi na mimi nitimize ahadi yangu lakini sikumpoa mimi, nikaenda kumchukulia ,,oja wa wale mabinti, si unajuwa wale wamezibuka, nikamwambia yule mtiwazimu kijana huyu lakini usimle ukammaliza huyu wangu. WAkanielewa, wakanishusha mimi wao wakaenda na yao.

Kwa ufupi mama hivyo ndivyo tulivyoipata nyumba, lakini kijana wako akawa sas king'ang'anizi, lazima mimi nimepe, nikaona huyu hanijuwi huyu, nikamwambia kwanza mimi siwezi kukupa hapa kwa mwanangu, halafu siendi mahoteli, nitengenezee nyumba ile tuhamie pale utanila mpaka uchoke. Kija hakufanay ajizi, ndiyo zikanza pirika za kuijenga upyta ile nyumba, ndiyo ukaniona nipo busy sikai nyumbani, nilikuwa nahakikisha kila kinaenda sawa, basi miezi mitatu tu nyumba ni ya kuahamia. mtoto kashikilia anatalka mchezo, akijaza fanicha zote ndani. Nikamwambia mimi sifanyi nje mpaka uniowe, ikabidi tukaowane bomani, maana yule baniani.

Kwa hiyo mwanangu, sasa hivi yule ni muwe wangu rasmi na ndiyo maana ukawa hunioni, tumehamia rasmi pale kwangu.

Mwanangu nisamehe sana lakini nimeyafanya yote haya kwa ajili yako, bila hivyo tungetoka kapa.

Kwa ufupi hapo ndiyo kisa kilipoishia, yaliyobaki yakawa ni maisha tu yanaendelea.

Majumba yanaficha siri nzito nzito za mahusiano.

kama unataka kujuwa details zaidi uliza tu.
 
Nzuri, ila huyu mama 😂🙌
 
Nzuri, ila huyu mama 😂🙌
Yupo mpaka leo na bado ni rafiki mkubwa wa muhindi, kwa utu uzima wake, wana siri zao wenyewe wanajuwana na muhindi ingawa ule uhusiano wa mke na mume ulikwosha zamani sana, nadhani umebaki wa ukuwadi tu., b-Binti nae baadae aliolewa na mume mwengine na anaishi nje ya Dar, kama sikosei ana watoto wanne au watano.

Hiki ni kisa cha zamani kiasi. Huyo kijana wa kihindi ni katika ukoo matajiri wakubwa sana Tanzania na maarufu sana kwa sasa. Zamani wazee wake walikuwa na maduka ya nguo tu, yapo mpaka sasa na yanajulikana sana. Huyo kijana ni mtu mzima kwa sasa, atakuwa over 50.
 
Mmeowana kwa ndoa ya dini ipi, au mmebebana tu?

Kiislam, hicho siyo kigezo cha kudai au kutowa talaka. Pia Kiislam huwezi badili ubini wa mtoto. Labda awe ni mtoto wa nje ya ndoa ambae hana urithi kwa baba kisharia.

Mlioanzisha kampuni mlifata sheria za makampuni na kila mtu anapata "dividends" zake kisheria ya makampuni, au mlifanya kienyeji tu?

Mwezi huu wa ada huwa mgumu sana kwenye majumba. Nikipata majibu ya maswali niliyokuuliza naweza kuja na ushauri mzuri. Sthamili kidogo, usifanye maamuzi ya haraka haraka.
Ndoa ya kwa DC,au haitambuliki?
Kampuni ilifata taratibu zote za usajil na nina hisa zangu , asilimia 45
Anamsikiliza mama yake Sana,Sasa nataka tugawane mbao🙏
Ngoja haya maandamano yapite,ndo tuongee zaidi 🙌
 
History books gani?
Fires of Rome and Years of the Passover
Au bible ndo history book?
Bible ni library ya vitabu vya historia kama ilivyo Qur'aan, tena bora Bible, its more comprehensive, detailed and humanity friendly kuliko hicho kitabu chenu ambacho Muddy alikuwa kila siku anakifanyia ammendments mara kwa mara, hadi msaidizi wake Abdullah Ibn Sa'd Ibn Abi Sarh ambaye ndo alikuwa scriber wake akamkimbia kwa kuona linguistic errors na Muddy kufanya marekebisho madogomadogo kweny Qur'aan, na huyu ndiye ex-muslim wa kwanza, Muddy kama kawaida yake akaamuru auliwe kokote atakapo patikana.
Kitabu kilichoandikwa na jopo la maaskofu chini ya uangalizi wa papa?
Wewe huna akili.
Hao maaskofu walioandika biblia walikuwa dini gani? Hivi unajua maaskofu walianza lini??
Huyo papa alikuwa dini gani?? Hivi unajua papa wa kwanza aliteuliwa lini na aliteuliwa na nani??
Broo Christianity pre-dates Catholicism, inakuaje Catholicism ndo iwe mwanzilishi wa ukristo?? Kama catholics ndo wameandika bible inakuaje kuna watu walikuwa wakristo na wanamjua yesu before the start of Catholicism??

Dogo huna lolote unalojua, cha kukushauri tuu achana na kujifanya unaujua ukristo, endelea kunung'unika kwa kiarabu huko msikitini kwenu.
 
Nimevumilia miaka yote hiyo kwa sababu ya maslahi ya mtoto tu basi, kwa sababu ahitaji tena msaada kwa sasa na ni mtu mzima, naona moyo wataman sana kujua.

Kumsomesha na kumlea sijapoteza fedha hata kidogo, ameniita Baba miaka yote na mie nimemtambua kama mtoto, ni wasiwasi tu ninao.
Bas fanya kimya kimya kama una kimuhe muhe cha kujua.
Usihusishe familia..maana itakua mwanzo wa mafarakano huko ndani..kama kula kitu kiko shwari fanya kimpango wako. Waache na amani wabaki wakijua you guys are still one family..
 
Kulea ilikuwa wajibu kumpa mtoto maisha, ila nataka tu jua ubaya wa huyu mchaga wangu ninayeishi naye.

Pia kwa miaka ya utu uzima nataka jua, kama ni wa nje, ni nani huyu alikuwa ananyemelea mke wangu?
Mkuu ungeeacha tu nahisi harufu ya damu kumwagika haitakuwa na mwisho mzuri
 
Yaani jinsi unavoona uislamu ni dini ya uongo, na wao wanauona ukristo hivohivo. Mnatakiwa mvumiliane.

Unadhani wazazi wako wangekua waislamu ungemjua Yesu? Haya mambo tunarithishwa tu

Na ndio ni hadithi, mungu angekuwepo kusingekua na dini 4000+ na mimi nawavumilia ujue
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah [emoji119] et unawavumilia tu umenifurahisha mkuu
 
Je nikweli kwamba MTU unaweza kudumisha ndoa Kama unashuka chumvini Mara kwa Mara.
Tukishuka huko chumvini wanawake wanatuona Kama watu wenye mahaba au wanatuona Kama mabumunda Fulani.
Utakufa kwa cancer ya koo kisa ubataka kumridhisha mwanamke.acha huo ujinga.
 
Back
Top Bottom