Umeongelea swala la compatibility/kuoana.. can you elaborate more Madam?
Pili Ikiwa kijana amechumbia In a hurry Kwa msukumo wa Binti/mwanamke , Mwanamke alitegesha akabeba ujauzito bse alitaka ndoa Kwa udi na uvumba, Kijana akapeleka kishika uchumba , Binti kajifungua Maisha yakasonga ila hakujawahi kuwa na amani , wanapata vipato vikubwa /fedha nyingi za mitaji the were financially free Binti alikuwa mwajiriwa Taasisi X Na kijana alikuwa husla wa mtaani ila alikuja PATA kazi part time kwenye taasisi x Anayofanya kazi Binti Kwa ufupi within 2 years wamepoteza more than 30 Million na unstable marriage/courtship Mpaka imepelekea bidada kapoteza kazi nk na mahusiano hayana amani? What can be done ... Na mtoto wao Ako na 2 years now ?
Wakiwa mbali everything is fine ...