FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Porridge break. Nafuatilia uwandishi wako.
Halafu Faiza mbona unajiona mtoto wa mjini Sana?
Siyo "najiona" ndivyo ilivyo, tena "sister do" kweli kweli wa zamani.

AlhamduliLlah, nimezaliwa na kulia New Streert Dar enzi nzuri kabisa. Ndoto zote za "utoto wa mjini" nimezitimiza. Kama kusafiri ndani na nje ya Tanzania ni wachache sana humu wanaoweza kufikia japo robo yake.
 
FaizaFoxy ukimaliza ichi kisa ulicho anza nacho,

Ningependa kusikia upande wa pili wa Maisha Yako ya ndoa,

Mpaka Leo hii kwa ujumla yawezekana tukajifunza mengi kupitia wew.

Shule sikwenda kusomea ujinga
maisha yangu ya ndoa ni very simple.

Uliza chochote upendacho kujuwa. Usingoje story iishe.

Usiulize maswali kibao kama tupo kwenye mtihani wa kusomea ujinga.

Uliza swali moja moja.
 
Nilihisi mtoto wangu wa kwanza si wangu, ila nilivumilia tu nikiwa na lengo la kumsomesha mpaka amalize chuo kikuu ndo niangalie DNA

Kamaliza Chuo kikuu Mwaka jana, bado moyo unaita nikaangalie DNA, je kwa sasa ni sahihi maana mtoto keshamaliza utegemezi?
Achana na DNA mkuu, hiyo bond tu ya miaka yote inatosha kabisa
 
Ya ila kitu
Haupo sahihi kwa upande wa dini ya Kiislam, kaiika Uislam kuna "Nikah au Aqdi ambao ni mkataba (contract) ya ndoa, unaofungwa kwa mliokubaliana (owana) Hauwi wa upande mmoja tu na haukamiliki kuwa ndoa kamili mpaka mkishajamiiana baada ya kuusaini, siyo kabla, kabla ya hapo ni uasherati na au uzinzi.
 
... Kuna Ushahidi mwingi sana wa kijeolojia unaounga mkono nadharia ya 'EVOLUTION', kwamba binaadam, na viumbehai wote duniani, ni matokeo ya madiliko madogomadogo kutoka kemikali zenye tabia kanganyifu mpaka tulipo sasa.
... mimi kama binaadam mwenye dini nakubali mafundisho ya dini yangu lakini pia nakubaliana na nadharia ya 'EVOLUTION' ... kwamba maelezo yaliyo kwenye misahafu, kuhusu uumbaji, ni ufupisho tu wa kilichotokea HALISI Katika uumbaji ambao umepitia njia ndefu ya 'EVOLUTION'!
MAONI YAKO TAFADHALI!
Nakubaliana nawe.

Tumeumbwa kwa njia ya evolution

Inaonekana ndiyo 'janja' ya Mungu kufanya uhai uwepo.

Makusudically ameweka mchakato ndiyo kufikia hatima fulani.

Atakayekataa kuhusu evolution yaani mageuko basi atuambie ni kwa nini anajikubali kuwa yeye ameumbwa na Mungu akiwa hivi sasa ana ndevu/matiti na mwanzo hakuwa nayo? Basi si achukulie kama ambavyo yeye amepitia mabadiliko ya ukuaji kama kiumbe basi akubali na sie tumepitia mabadiliko ya ukuaji kama spishi na kama ufalme eaaaaasy. Na haitabadili ukweli wa kwamba tumeumbwa.

Maisha ni mchakato wa mabadiliko ya kudumu na endelevu
 
Nimehalamishia suala la evolution huku, fata link, hapa siyo sehemu yake:

Haupo sahihi kwa upande wa dini ya Kiislam, kaiika Uislam kuna "Nikah au Aqdi ambao ni mkataba (contract) ya ndoa, unaofungwa kwa mliokubaliana (owana) Hauwi wa upande mmoja tu na haukamiliki kuwa ndoa kamili mpaka mkishajamiiana baada ya kuusaini, siyo kabla, kabla ya hapo ni uasherati na au uzinzi.
Mimi naamini Quran tu kwenye uislam.... naomba unifafanulie kutumia iyo, hizi zingine naziitaga siasa za dini
 
Attachments

  • 20240117_133836.jpg
    20240117_133836.jpg
    241.3 KB · Views: 4
  • 20231229_212617.png
    20231229_212617.png
    66.5 KB · Views: 5
  • 20231229_212704.jpg
    20231229_212704.jpg
    124.8 KB · Views: 7
  • 20231229_212641.jpg
    20231229_212641.jpg
    43 KB · Views: 5
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.

Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima.

Tafadhali tuwe wastahamilivu tusiziwache mada akaanza kushambuliwa mtu yeyote yule. Tunawaomba Moderator s watulinde kwenye hilo.

Nisiwachoshe, tuingie kwenye mada. Nakaribisha maswali. Yatapokosekana maswali ntachochea mada kwa kuwaletea visa vya mahusiano ambavyo kidogo visivyo vya kawaida "twisted".
Uache utoto nchi hii haina dini.

Nakupa nasaha wewe kibibi.
 
Hadi leo mahusiano ni fumba la imani hakuna anaejua mahusiano hususani ya kimapenzi ni nini maana kila alieingia na kutoka analia, alie ndani analia, anaetaka kuongia tena nae analia.
Hili hata lingekuwa janga la kitaifa serikali bado ingeshindwa
 
Back
Top Bottom