FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Nampenda FaizaFoxy ndugu, nifanyeje?
 
Nampenda FaizaFoxy ndugu, nifanyeje?
Kamtongoze, kafunguwa uzi wa kutongozwa tu:

 
Utakuwa unaongelea ukristo, maana ndo
Bottom line, Wakristo wanaabudu wásichokijua Kwasababu wamefichwa ukweli wa Kila kitu kuhusu imani Yao.
Tunayemuabudu tunamjua na ndio maana hayo majini ya kiislamu wanakimbia kuombewa kwa jina la Yesu
Wanapiga kelele eti wanaungua kwa moto

Kamuulize Maimuna, Subihani, Makata na majini yenu mengine watakuambia Mziki wa Yesu ukoje!

Na mimi nikisema uislam uliletwa na waarabu ili kurahisisha biashara ya Utumwa! Hiyo imekaaje...
 
 
👍👏💭🆒
 
Nne
 
Wananchi wote turudi kwenye dini ya asili...Uislam

Utaharibu uzi kwa maudhui ambayo sio yaliyokusudiwa kwenye uzi huu...

Kiumri Ukristo uliutangulia Uislamu (hili hata wewe unajua), ndani ya vitabu vyenye kubeba hizi imani mbili kuna asilimia kadhaa ya kushahabiana katika mafunzo yake...

Je, kama Uislamu ndio sahihi lakini si Ukristo, iweje kuwe na vinasaba vinavyolingana kwenye maandiko ya imani zote mbili, iweje imani ya kweli Uislamu(kwa mujibu wako) ikope mafundisho ya imani ya uongo Ukristo (kwa mujibu wako)?

Usijibu chochote kwenye hii post, tafakari kimya kimya
 
Umenipa point Aisee! Siku mvaa kobazi akijichanganya siongei sana nampa huu mstari.

Na mdahalo utakua umeishia hapa.
 
Umeshalea unataka ugundue nn tena,,?
Achana na hayo mambo
 
... Kuna Ushahidi mwingi sana wa kijeolojia unaounga mkono nadharia ya 'EVOLUTION', kwamba binaadam, na viumbehai wote duniani, ni matokeo ya madiliko madogomadogo kutoka kemikali zenye tabia kanganyifu mpaka tulipo sasa.
... mimi kama binaadam mwenye dini nakubali mafundisho ya dini yangu lakini pia nakubaliana na nadharia ya 'EVOLUTION' ... kwamba maelezo yaliyo kwenye misahafu, kuhusu uumbaji, ni ufupisho tu wa kilichotokea HALISI Katika uumbaji ambao umepitia njia ndefu ya 'EVOLUTION'!
MAONI YAKO TAFADHALI!
 
THEATRE ARTS! - ASK BBC!
 
Akikutongoza huko kwa uzi wa kukutongoza nitag ili nicheke kidogo madam 😁
 
Mada yenyewe iko wapi sasa unapoerma tuingie
 
Nafsi huona yasiyo onekana kwa macho. Nenda kapime... Nenda hospital andaa mazingira, ongea na dokta weka kla ktu fresh.... Mchukue kijana usimwambie mnaenda kupma DNA... Fka hospital kwny hatua za upmaj mkiwa na dokta mwambie tumekuja kupma DNA....


Kijana ni mkubwa, ana 23, kama mwanaume nitamweleza tu, maana nimemsomesha, nimemtunza, au unaona si sawa kumwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…