FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

-Anakauli zinazojirudia kama " shule ulienda kusomea ujinga".
-Anamajivuno anafikiri yy n bora zaid kumbe si kweli.
-Anaendeshwa na dini yani yy kwake muislam ni bora zaidi.
-Mbinafsi
- Ni mmama ambaye kwa umri wake alitakiwa aachane na mambo yakutukanana na watoto wake kwani kufanya hvyo anajikosea heshima yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe unaudini wa kufa mtu! Rejea nyuzi zako na comment zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmemaliza?

Haya niambieni, hapa Rais wa Philippines, Rodrigo Duterte anachosema ni kweli au anawapakazia?...

Duterte says his country's bishops are 'sons of bitches' and 'most of them are gay'.
President Rodrigo Duterte has denounced bishops in the Catholic-majority country as "sons of bitches", renewing his attacks on the church that has criticised him over his bloody war on drugs. Duterte, who launched his campaign against drugs when he took office in mid-2016, remains hugely...

Kwa wasioelewa Kingereza, Rais Duterte hapo amesema Maaskofu wengi wa nchini kwake na wa duniani ni mashoga halafu anawatukana matusi ya nguoni "watoto wa mbwa".

Halafu hapa anasema...
Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga
Huyu Duterte huyu!kweli kichaa kapewa rungu.


Hayo si ya FaizaFoxy wala hakuyaleta yeye JF lakini atashambuliwa yeye! Kwi Kwi Kwi teh teh teh.

Nawauliza, mmewauliza Maaskofu wenu kuhusu hayo?
 
Umewahi kukutana nae? Au unahadaika Na maandiko yake hapa JF

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
mbalikiwa = mbarikiwa
abalikiwe = abarikiwe
subuhana wataara = Subhanna wataala


"udini" ndiyo nini?
 
Dogo umeanza mahusiano ya Kimapenzi na Bibi zako? Achana na huyo bibi Taahira!
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
mbalikiwa = mbarikiwa
abalikiwe = abarikiwe
subuhana wataara = Subhanna wataala


"udini" ndiyo nini?
nakupenda sana we faiza foxy mama wa maarifa siku moja unitunuku tunda na aliyekuoa ni wazi anafaidi sana .

Usomage hizo message Pm mchumba
 
nakupenda sana we faiza foxy mama wa maarifa siku moja unitunuku tunda na aliyekuoa ni wazi anafaidi sana .

Usomage hizo message Pm mchumba

Biblia Mwanzo 2:
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…