FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

Status
Not open for further replies.

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.

Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
1671895966036.jpeg


Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,

=====

UPDATES

=====

Habari hii imekanushwa.
20221224_214235.jpg
 
PK anakoelekea kubaya, uthubutu na ujasiri anaonesha kwa kweli umenifanya nipende hatua zake ingawa binafsi si mshabiki wake kwa kuwa namuona kama mpenda matatizo katika kanda nzima ya Afrika mashariki.

Big up KP ila huna mwisho mwema kwa hatua uliyoipiga kwa faida ya Wanyarwanda na Rwanda kwa ujumla.
 
IMG-20221224-WA0055.jpg

Kagame sasa kafungulia full dose ya kibri ya kitutsi.

Nchi za USA, UK, France, Ujerumani na Ubelgiji zimemwambia bila kupepesa macho kuwa aliondoe jeshi lake DRC linaloitwa M23.

Ameamua kuwatimua nchini na kufunga balozi za waliompa ukweli.

Mwana kulitafuta, mwana kulipata.
 
Anajifanya masikini jeuri., soon itakula kwake kama sio kwa raia wake.

Wakiamua kumuondoa , wala hawaitqji kupeleka jeshi, bali watatumia watu wake wa sytem kumuondoa.

Jiwe na kiburi chake chote kwa hawa jamaa alikuwa anaufyata na kuwa mpole na mdogo kama piritoni.

Anyway, Mungu ana makusudi na kila jambo.
 
Operation ya kumuondoa imewivA nadhani.

Ingawa as a soverign state wako na uhuru wa kufanya maamuzi kama hayo pindi wanapoona (wanapoona nasisitiza) wanaingiliwa mambo yao ya ndani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom