monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa smoke in mirrors poteza.maboya.Duh, kuna watu walikuwa wanadai EU na US ndio wanafadhili waasi wa M23, yaani waafrika tuna shida sana, migogoro mingi tunaanzisha wenyewe tunasingizia wazungu
Yule ni CIA agent ukiona amefanya jambo ujue amefanya kwa ruksa yao.Kuna uzi nilisema humu,huyu jamaa kwakuwa kaona kwenye sanduku la kura hakuna anayemuweza basi anaona anaiweza dunia yote na hili sasa ndio litakuwa anguko lake...
Nikweli lakini huyu jamaa kiburi chake kimefika mwisho . Hana ubavu wa kuwavimbia hao jamaa watamnyoosha.
View attachment 2456846
Wamhofie Putin, Putin ana lipi la maana akiungana na hiyo Afrika? Putin ukiacha silaha za nuclear ana lipi lingine?Hii itakuwa smoke in mirrors poteza.maboya.
Wamefanya hivi ili ionekane wamemnawa na hawabariki vitendo vyake kumbe nyuma ya kapeti wanaendelea kumfadhili.
Walihofia Putin atatumia Rwanda kama kigezo cha kuishwawishi Afrika kuwa wazungu ni wabaya na wanawagombanisha ili apate sapoti ya Afrika.
Watu wanafikiria about the new world post Russio-Ukraine war
Hata Savimbi alikuwa mtu wao baadea wakambwaga. Hawana rafiki wa kudumu hao. In fact siyo Agent wa CIA ila US huwa wanajilaumu kufanya uzembe na kushindwa kuzuia genocide ndiyo maana huwa wanampetipeti Kagame. PYule ni CIA agent ukiona amefanya jambo ujue amefanya kwa ruksa yao.
Kwanini unasema ni tetesi wakati naona kuna attached document toka serikali ya Rwanda inayoelezea hayo maamuzi?!Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
View attachment 2456856
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
I request H.E Kagame to revise his decision and use orher aporoaches. I belive this is not the best option.Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
View attachment 2456856
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
Akili za kiswahili, lakini wazungu kama nchi walishahama siku nyingi kwenye huo uhuni. Ni kweli wapo watu na makampuni binafsi ya kizungu yana mkono kwenye machafuko lakini nchi zina namna nyingine ya kuimpose influenceDuh, kuna watu walikuwa wanadai EU na US ndio wanafadhili waasi wa M23, yaani waafrika tuna shida sana, migogoro mingi tunaanzisha wenyewe tunasingizia wazungu
Felix kamshika jamaa pabaya, jamaa sasa anajaribu kufurukuta..😂😂My broh felix najua unachofanya,umeanzia juu kuja chini
Vita ikitokea you need every resource you can acquire.Wamhofie Putin, Putin ana lipi la maana akiungana na hiyo Afrika? Putin ukiacha silaha za nuclear ana lipi lingine?
Hata hiyo Africa ina nguvu gani? Hawa viongozi wa Afrika wanaoitwa kama watoto wadogo kwenda Marekani n kuhutubiwa wana msaada gani kwa huyo Putin?
Watu mnajitia mna nguvu kumbe mnakufa njaa na madeni
"One behalf of his excellency.. " [emoji23][emoji23][emoji23]Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
View attachment 2456856
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
hajui kuwa fatshi alijipanga b4 kuwa rais,wapi nguvu ya pk ilipo na nini afanyeFelix kamshika jamaa pabaya, jamaa sasa anajaribu kufurukuta..😂😂
Dunia ya leo kinachofanya ushawishi ni nguvu ya uchumi, sio blah blah, kama Urusi kashindwa kumshawishi Ukraine ambaye ni kama ndugu yake iVita ikitokea you need every resource you can acquire.
Putin atatengeneza silaha, Afrika itatoa askari
Itakuwa Vita ya Wazungu Vs Warusi, Wachina, Waislam na Waafrika.
Unadhani nani atashinda?
amejisahau sana jamaa. anawafukuza waliomuweka? akawaulize wana wa chato. kilichwakuta ni matokeo ya kiburi tuPK anakoelekea kubaya, uthubutu na ujasiri anaonesha kwa kweli umenifanya nipende hatua zake ingawa binafsi si mshabiki wake kwa kuwa namuona kama mpenda matatizo katika kanda nzima ya Afrika mashariki.
Big up KP ila huna mwisho mwema kwa hatua uliyoipiga kwa faida ya Wanyarwanda na Rwanda kwa ujumla.
Dola zilizokuwa na uchumi mkubwa zilishasimama nyingi na zikaanguka.Dunia ya leo kinachofanya ushawishi ni nguvu ya uchumi, sio blah blah, kama Urusi kashindwa kumshawishi Ukraine ambaye ni kama ndugu yake i
, waliokuwa nchi moja ikambidi kutumia silaha itakuwa ngumu kushawishi nchi nyingine za mbali, simply sababu hana nguvu za kiuchumi