FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

Status
Not open for further replies.
Dah..! Ripota wetu nawe Pasua Kichwa..! Hasa hapo kwenye Saa 72 ,Aliwaita mabeberu Kweli ..?

'Ametoa Masaa 72 Kwa Mabarozi Wa MABEBERU na Wao Waondoke'..!

DayaspORA wanasemaje..? Maana Wana Nongwa.!
 
Rwanda imefukuza Ubarozi wa DRC ndani ya Masaa 24, pia imetoa Masaa 72 kwa Barozi za Mabeberu ( USA , UFARANSA, UBELGIJI, UINGEREZA, UJERUMANI) na wao waondoke Nchini kwao Kwa Maslahi Mapana ya Warwanda na kukataa Usaliti.

Barua hii ya wazi imetolewa leo tar 24/12/2022.

Tutegemee Makubwa.View attachment 2457088
Sababu
 
#MsasaSports MESSI FAKE ADAIWA KULALA NA WANAWAKE 23....

Mwanaume mmoja Nchini Iran kwa majina Reza Parastesh ambaye anafanana na mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi ametiwa mbaroni kwa kutumia fursa hiyo kulaghai watu hususani Wanawake.

Parastesh ameripotiwa kuwalaghai na kufanya mapenzi na Wanawake 23 akitumia mfanano wake na Messi kuwashawishi.

Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha tembelea Msasa Online kila wakati hakika hutopitwa na chochote saa 24.
Aise kwahiyo alitumia fursa duu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufafanuzi, kuna shida gani Monusco kuextend hiyo contract DRC? Na hapo kwenye kuondoa hizo suspensions kuna shida gani? Sioni hoja hapo..., cha msingi M23 warudi kwao mbwa hao
 
Dah..! Ripota wetu nawe Pasua Kichwa..! Hasa hapo kwenye Saa 72 ,Aliwaita mabeberu Kweli ..?

'Ametoa Masaa 72 Kwa Mabarozi Wa MABEBERU na Wao Waondoke'..!

DayaspORA wanasemaje..? Maana Wana Nongwa.!
Mpaka aandike? Vingine tunajiongeza MKUU, mwenye hizo guts za kuwaita Mabeberu alikuw Magufuli, na lile Jiwe la Zimbabwe pekee
 
Dah..! Ripota wetu nawe Pasua Kichwa..! Hasa hapo kwenye Saa 72 ,Aliwaita mabeberu Kweli ..?

'Ametoa Masaa 72 Kwa Mabarozi Wa MABEBERU na Wao Waondoke'..!

DayaspORA wanasemaje..? Maana Wana Nongwa.!
Hapo watajijua wao.. Hao Diaspora watajijua wenyewe maana hata hapo Rwanda kuna Diaspora wa Nchi nyingine zilizofungashiw virago
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom