Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Duh, kuna watu walikuwa wanadai EU na US ndio wanafadhili waasi wa M23, yaani waafrika tuna shida sana, migogoro mingi tunaanzisha wenyewe tunasingizia wazungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PK ameamua kuwavimbia mabeberu..Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
View attachment 2456856
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
Nothing lasts forever.Uyo ni mtoto wa CIA watayamaliza na Congo itaendelea kuteseka
Yeah. Pa -jina lake la kwanzaEti PaKa. Hahahahaha
Congo Dr hakuruhusiwa nunua silaha, ila juzi kafunguliwa pazia la manunuzi.Uyo ni mtoto wa CIA watayamaliza na Congo itaendelea kuteseka
Mwisho wa Kagame umefika........niko pale nimekaaZipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
View attachment 2456856
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
kaishafeli na kuchelewa, nilisema humu
Mwisho wa Kagame umefika rasmiZipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72.
Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake naona mwisho wa PAKA umewadia.
View attachment 2456856
Ngongo kwasasa Kivu ya Kaskazini,
Ataambiwa ana WMD-WEAPONS OF MASS DESTRUCTION.Watamtoa muda si mrefu huyu.
hahahaha,kaishachelewaSoon ataside na Putin & Iran kujihakikishia kesho njema ama MK254 & GENTAMYCINE mnasemaje kwa pamoja
Atayauza kwa nani na Wateja wenyewe ndio hao kashakorofishana nao?Jamaa hana shida, madini aliyopora DRC yanamtosha.