Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42

Habari kamili ni hii hapa

The female falcon was equipped with a GPS tracker during its journey from South Africa to Finland, covering about 230 km per day.
It walked in a straight line across the African lands until it reached the desert in the north, then headed towards the path of the Nile River over Sudan and Egypt, then avoided flying over the Mediterranean Sea.
It crossed over Syria and Lebanon, and also avoided flying over the Black Sea, because if it got thirsty, it would not be able to drink from it. It continued in a straight line and reached Finland after 42 days.

472027480_580073267978963_3528354211601497144_n.jpg
 
Alikuwa anakula na kulala muda gani?.

Au ni kifaa cha upelelezi kilichoundwa kwa mfumo na muonekano wa Falcon?.

Inafikirisha!
 
Inafikirisha
It crossed over Syria and Lebanon, and also avoided flying over the Black Sea, because if it got thirsty, it would not be able to drink from it. It continued in a straight line and reached Finland after 42 days.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kuna ndege wengi tu wanakaa angani muda mrefu Sana wengine mpaka miaka 6 bila ya kutua ardhini

Lakini hii haimanishi kua miaka 6 yote hio wapo angani tu bali hutua katika bahari Kwa ajili ya kula, lakini sio ardhini....

Kuhusu kulala, Kuna ndege wanalala akili nusu inapumzika akili nusu inakua active, kama dolphin tu...

Na Kuna ndege akilala sekunde 12 ndani ya muda wa kama nusu saa zinamtosha kabisa kupumzika, Kuna ndege wanalala dakika zisizozidi 40 tu Kwa siku nzima
 
Duh!....haya ni maajabu
 
Back
Top Bottom