Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Mi nataka kujua, jpm alituachia neno gani la mwisho, maana kama alipata mda wa kuimba na kuomba toba, hangekosa kuacha wosia , mfano, nyerere kabla hajafa alisema, "Najua huu ugonjwa sitapona, ntakufa,, najua wantanzania watalia sana........"
 
Mi nataka kujua, jpm alituachia neno gani la mwisho, maana kama alipata mda wa kuimba na kuomba toba, hangekosa kuacha wosia , mfano, nyerere kabla hajafa alisema, "Najua huu ugonjwa sitapona, ntakufa,, najua wantanzania watalia sana........"
Neno la mwisho la nini? Lingekuwa linafaida gani kwetu wakati tulikuwa hatumhitaji
 
Kweli kbs ishara zilianza kuonekana mapema hata kabla ya kampeni za uchafuzi,ujue mtu akikaribia kufa hasa kwa watu wenye matendo mabaya kwa jamii huwa wanakuwa wakali sana.
Kipindi alipokuwa kaenda mbeya kutafuta wadhamini dah
 
Akimuomba mola wake inatosha na ndio maana ya mpako wa mafuta matakatifu kwetu sisi wakatoliki ni maana kubwa sana.
Afu unakuta anaekupaka mafuta ni fundi wa kulawiti hapo ndo utajua kuwa Mungu siyo mayele
 
Paulo mtume aliwaomba msamaha aliowaua baada ya kuongoka/kuokoka? (Sauli - Paulo).
Msamaha wa Mungu hauna masharti.
Ukitubu kwa imani unasamehewa!
Angalau umekubali alikuwa na madhambi. Lakini umekosea kusema msamaha wa Mungu hauna masharti. Nilazima uwaombe msamaha uliowakosea.
 
Pole sana. Uwe unafanya ziara za hija pale kaburini chato mara kwa mara.
 
Umeona eh...alibanaaaaa , Nature ikafanya Γ chie ...Leo wale aliokuwa nao kiwananga Mabeberu ,kukebehi Safari za.Nje ,wanabadilisha Mabegi!
Na posho zmepanda😁
Mishahara Juu,
DUNIANI UNAYAKIWA KIWA NA KIASI!
TUNA MIDA.MFUPI SANA WA.KUISHI!
cha kushangaza zaidi unafanya jitihada za kumuua mtu halafu hafi unakufa wewe....maisha haya unaweza ukasonya ukiwa ndani ya jeneza
 
zitto junior pitia hapa πŸ‘†
 
Alivyokuwa na sauti mbaya sasa
 
Kama hakutubu kwa maana ya kumkiri Yesu na kumpokea kuwa Bwana na mokozi wa maisha yake yuko kuzimu!
Yes alisema"Mimi ndimi njia ya kweli na uzima MTU haji kwa baba bila ya Mimi....
 
Sifahamu hawa Viongozi hawana msingi wa imani waisimamio? Mungu wa Padre aliyempaka mafuta ndie mungu wa Sheikh? Mbona anachanganya miungu?
Washirikina ndio huwa hivyo,huwa wanajifanya kuwa "neutral".
 
😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Mi nataka kujua, jpm alituachia neno gani la mwisho, maana kama alipata mda wa kuimba na kuomba toba, hangekosa kuacha wosia , mfano, nyerere kabla hajafa alisema, "Najua huu ugonjwa sitapona, ntakufa,, najua wantanzania watalia sana........"
Waovu huwa wanakufa,Kwa mateso,huo ataupata wapi!
 
zitto junior pitia hapa πŸ‘†
Hao hao walisema JPM ni mzima anachapa kazi ndio sembuse uwaamini wanachosema baada ya kifo chake?? Ulitegemea watasema alikufa akirusha miguu??

Kama Pengo au Mufti walijua JPM anaumwa hivyo unadhani wasingewaambia waumini wafunge na kuomba?

Hao CCM suala la JPM hawana credibility ya kuongelea lolote maadam waliotuambiwa JPM amefariki walisema Ali paralyse days prior to his death so acha tuwaamini hao hao wanamtandao!.
 
Hehe...ka unajiamini ingia field simama jukwaani umtukane JPM uone kitakachokupata.
Lissu mbona alimshambulia JPM kwa maneno makali Chato alifanywa nini?? Mnamkuza sana JPM kuliko uhalisia, spana za Lissu mara hii umezisahau? Alimuita Gari la mkaa mbona hakupigwa na raia unaowasemea?

Mama Samia mara ngapi kamkebehi JPM wazi wazi kabisa alipigwa mawe? Diallo si alisema jukwaani kabisa kuwa JPM aliwaweka wezi wa kura!! Alipigwa mawe??

Ukishakufa watu wanakusahau maisha yanaendelea, yaani watu waache kazi zao waje kukupiga kisa unamuongelea marehemi anayeliwa na funza kuzimu?? Get serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…