Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Mi nataka kujua, jpm alituachia neno gani la mwisho, maana kama alipata mda wa kuimba na kuomba toba, hangekosa kuacha wosia , mfano, nyerere kabla hajafa alisema, "Najua huu ugonjwa sitapona, ntakufa,, najua wantanzania watalia sana........"
 
Neno la mwisho la nini? Lingekuwa linafaida gani kwetu wakati tulikuwa hatumhitaji
 
..binafsi nilianza kushtuka alivyochelewa kufika kwenye ibada ya mazishi ya Mzee Mkapa kule Lupaso.

..pia kila alipokwenda kulikuwa na mashine kama feni kubwa karibu na alipokuwa akiketi jukwaani.

..alivyopotea na watu walivyoanza kumuulizia na alivyoshindwa kujitokeza Kanisani siku ya jumapili nikahisi ana tatizo kubwa.
Kweli kbs ishara zilianza kuonekana mapema hata kabla ya kampeni za uchafuzi,ujue mtu akikaribia kufa hasa kwa watu wenye matendo mabaya kwa jamii huwa wanakuwa wakali sana.
Kipindi alipokuwa kaenda mbeya kutafuta wadhamini dah
 
Akimuomba mola wake inatosha na ndio maana ya mpako wa mafuta matakatifu kwetu sisi wakatoliki ni maana kubwa sana.
Afu unakuta anaekupaka mafuta ni fundi wa kulawiti hapo ndo utajua kuwa Mungu siyo mayele
 
Paulo mtume aliwaomba msamaha aliowaua baada ya kuongoka/kuokoka? (Sauli - Paulo).
Msamaha wa Mungu hauna masharti.
Ukitubu kwa imani unasamehewa!
Angalau umekubali alikuwa na madhambi. Lakini umekosea kusema msamaha wa Mungu hauna masharti. Nilazima uwaombe msamaha uliowakosea.
 
Pole sana. Uwe unafanya ziara za hija pale kaburini chato mara kwa mara.
Hakika maisha ya duniani ni safari ndefu Sana na tusiyojuwa tunakokwenda..

Binadamu anapofariki pale ndy mwanzo wa safari ya kurejea kwa muumba wetu inapoanzia.

-Iwe ulikuwa mtu mwema ,
-Iwe ulikuwa mtu muovu hapa duniani,
Ni lazima ufe.

Zipo dalili zinazoonyesha ubaya au uzuri wa safari yako huko uendako.
A--Kama ni mwema basi hapa hapa duniani dalili njema zitaonekana kwako
Mfano
-Kupata nafasi ya kuomba toba kabla hujafa.
-Mazishi yako kuumiza mioyo wa watu wema.
-Kifo chako kufurahiwa na watu waovu ,wanga,wachawi,watu wenye chuki zisizo na sababu..

Mtu muovu akifa hatopata nafasi hata ya kutamka neno lolote litakalo mpendeza Mungu.
Wala hatopata nafasi ya kuomba toba.
Unapoomba toba , hakika Mungu amekuridhia hata kabla hujaomba.

B--Mtu muovu msiba wake utakuwa ni huzuni kwa watu waovu wenzake.,wezi, wachawi,wanga nk.

Magufuli alionyesha ishara zote za mtu mwema ,
Alionyesha ishara zote za uzuri wa safari yake huko aendako. .
Tulishuhudia wanga na wachawi wakifanya sherehe kushangilia kifo chake.
Na kuacha watu wema wakimlilia Magufuli hata leo.

Sleep well my President.
Sleep well John.
 
Umeona eh...alibanaaaaa , Nature ikafanya àchie ...Leo wale aliokuwa nao kiwananga Mabeberu ,kukebehi Safari za.Nje ,wanabadilisha Mabegi!
Na posho zmepanda😁
Mishahara Juu,
DUNIANI UNAYAKIWA KIWA NA KIASI!
TUNA MIDA.MFUPI SANA WA.KUISHI!
cha kushangaza zaidi unafanya jitihada za kumuua mtu halafu hafi unakufa wewe....maisha haya unaweza ukasonya ukiwa ndani ya jeneza
 
Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.

Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.

Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.

Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.

Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.

Maendeleo hayana vyama!
===

Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."

Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"

"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
zitto junior pitia hapa 👆
 
Alivyokuwa na sauti mbaya sasa
 
Kama hakutubu kwa maana ya kumkiri Yesu na kumpokea kuwa Bwana na mokozi wa maisha yake yuko kuzimu!
Yes alisema"Mimi ndimi njia ya kweli na uzima MTU haji kwa baba bila ya Mimi....
 
Sifahamu hawa Viongozi hawana msingi wa imani waisimamio? Mungu wa Padre aliyempaka mafuta ndie mungu wa Sheikh? Mbona anachanganya miungu?
Washirikina ndio huwa hivyo,huwa wanajifanya kuwa "neutral".
 
Mi nataka kujua, jpm alituachia neno gani la mwisho, maana kama alipata mda wa kuimba na kuomba toba, hangekosa kuacha wosia , mfano, nyerere kabla hajafa alisema, "Najua huu ugonjwa sitapona, ntakufa,, najua wantanzania watalia sana........"
Waovu huwa wanakufa,Kwa mateso,huo ataupata wapi!
 
Hao hao walisema JPM ni mzima anachapa kazi ndio sembuse uwaamini wanachosema baada ya kifo chake?? Ulitegemea watasema alikufa akirusha miguu??

Kama Pengo au Mufti walijua JPM anaumwa hivyo unadhani wasingewaambia waumini wafunge na kuomba?

Hao CCM suala la JPM hawana credibility ya kuongelea lolote maadam waliotuambiwa JPM amefariki walisema Ali paralyse days prior to his death so acha tuwaamini hao hao wanamtandao!.
 
Hehe...ka unajiamini ingia field simama jukwaani umtukane JPM uone kitakachokupata.
Lissu mbona alimshambulia JPM kwa maneno makali Chato alifanywa nini?? Mnamkuza sana JPM kuliko uhalisia, spana za Lissu mara hii umezisahau? Alimuita Gari la mkaa mbona hakupigwa na raia unaowasemea?

Mama Samia mara ngapi kamkebehi JPM wazi wazi kabisa alipigwa mawe? Diallo si alisema jukwaani kabisa kuwa JPM aliwaweka wezi wa kura!! Alipigwa mawe??

Ukishakufa watu wanakusahau maisha yanaendelea, yaani watu waache kazi zao waje kukupiga kisa unamuongelea marehemi anayeliwa na funza kuzimu?? Get serious
 
Back
Top Bottom