Uamuamini Sheikh muongo muongo kama huyo? Zubeir akikwambia yeye ni mwafrika kataa mpaka uone rangi yake.Lakini jana wakati anahojiwa na UTV Shekh Mkuu Zuberi alipoulizwa kwamba alipomtembelea wàkati anaumwa Mh. Hayati Rais Magufuli, Shekh alijibu kwamba "....kwa siku za karibuni toka kuugua kwake sijawahi kumtembelea..."
Hili la wanafamilia kwamba aliombewa na Shekh Zuberi wamelitoa wapi?
Wewe siyo Mungu!Amefanya Toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana. Ndugu za akina Ben Saanene, waliofungwa bila hatia.
Hawezi kuwa redeemed unless wote walioteseka kwa mkono wake wamepata haki.
😀😀😀😀 alikuwa na sababu gani ya kuficha kama alikwenda kumfanyia duaa ya mwisho?...si ingempa political and social milage kwa watanzania?Uamuamini Sheikh muongo muongo kama huyo? Zubeir akikwambia yeye ni mwafrika kataa mpaka uone rangi yake.
Na Mungu sio mjinga. Kila mtu atavuna alichopanda.Wewe siyo Mungu!
Sasa Yohana hapa unataka kulazimisha mambo!😀Maombi siyo lazima amtembelee!
Anaweza kumuombea huko huko aliko.
Mafuta? Haya ya manabii fake?Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu...
Tuoneshe ni vifungu gani vya kwenye Biblia vinavyotetea hoja yako.Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu....
Hao wote aliwaambukiza Covid-19.Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu....
Duh......mlisema kafa kwa tatatizo la moyo?Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo...
Acha utotoSasa hivi Anawaongoza Malaika Huko
Kwa hio mufti ni mkatoliki au mbwembwe tu.Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Sema Malaika wake..Sasa yupo mbinguni na malaika wenzake!
Alimwomba msamaha Tundu Lisu?Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Basi mtangazeni kuwa ni Mtakatifu kama Nyerere. Maana huwa mnasema ni Nyerere wa piliMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Padre wa saint Peter amelifafanua vizur sana kwa kutumia bible. Kazi kubwa nikumuombeaAmefanya Toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana. Ndugu za akina Ben Saanene, waliofungwa bila hatia.
Hawezi kuwa redeemed unless wote walioteseka kwa mkono wake wamepata haki.
Duu huu sasa ndio uhuru wa mawazo.Basi mtangazeni kuwa ni Mtakatifu kama Nyerere. Maana huwa mnasema ni Nyerere wa pili