Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Uamuamini Sheikh muongo muongo kama huyo? Zubeir akikwambia yeye ni mwafrika kataa mpaka uone rangi yake.Lakini jana wakati anahojiwa na UTV Shekh Mkuu Zuberi alipoulizwa kwamba alipomtembelea wàkati anaumwa Mh. Hayati Rais Magufuli, Shekh alijibu kwamba "....kwa siku za karibuni toka kuugua kwake sijawahi kumtembelea..."
Hili la wanafamilia kwamba aliombewa na Shekh Zuberi wamelitoa wapi?