MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
This was a kind of family life in Europe around 1800s and early 1900s. Nilikuwa nasoma maisha ya wazungu hapo zamani nikakuta baba mwenye nyumba alikuwa anaogopeka mno. Zama hizi ni ujinga wa hali ya juu kufanya hivyo na matokeo yake ukubwani unaishia kuwa na watoto makatili na wauaji kama Samia. Athari zake zinakwenda mbali sana.Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.
Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
Kwahivyo hasifokewe mbele ya watoto😅Pia baba anakosolewa chumbani nakazia
Allah akbar⚔️Takbir
Na vile siku hizi kuna fao la kifo la wastaafu basi mambo mwemwelemwemweleUkistaafu hakuna rangi utaacha kuona kutokea mke mpaka watoto watakua wanakuimbea ufe haraka
Sio ruksa hiyo isipokua matumizi mpe mkeo mbele ya watoto ili wakikua wasiimbe tu nani kama mamaKwahivyo hasifokewe mbele ya watoto😅
Na familia dhaifu hujengwa na mama legelegeMapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.
Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
Wapo kibao wameshapingaHakika hichi kizaz kinahitaj baba aina iyo Kuna watu watakuja kupinga Kila kitu