Familia imara hujengwa na baba dikteta na sio vinginevyo

Familia imara hujengwa na baba dikteta na sio vinginevyo

Na nyinyi mtulie wanawake mtulie nyumbani sio mnatokatoka kwenda kukitembeza mwisho yanawakuta, chanzo cha Shekhe kuoa mke wa pili ni mkewe kupigwa mande na wahuni sijui alijichanganya vipi, akaona isiwe kesi ngoja nimsake mwanamke mwingine akapata mwanamke mwenye mihela akaoa akahama nyumba yake akaenda kuishi na mke wa pili
Yani mke wa mtu unakitembeza wapi? Sababu kubwa ni nini mpaka mwanamke anatoka? Itakuwa ni mwanamume wake..
 
Yani mke wa mtu unakitembeza wapi? Sababu kubwa ni nini mpaka mwanamke anatoka? Itakuwa ni mwanamume wake..
Sababu unaijua wewe pale unapoamua kukitembeza, kuna bibi yangu alikua anasema kwamba mwanamke siku ambayo anaamua kwenda kuuzakuma ndio siku anayokutana na mkwewe akaenda kuinunua aichape na akampa aichape na akaichapa kwa hio anakua kaliwa na mkwewe, ndicho kilichomkuta mke wa Shekhe
 
Mkwewe ni nini? Halafu huyo bibiyo ni noma🤔
Mwanamke kucheat ni sabbabu z amwanaume wake! Kama mnaishi vzr why mwanamke akucheat?
 
Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.

Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
Nikawiwa kufungua nightie maandiko yako.

Nikakutana na kisa nyumbn kwangu. Wife anawakingia wadogonzake vifua washi kwangu, ilhali ni 30s plus. Akafika mb ali zaidi, nibadili structure ya nyumba niongezee nafas wapatege sehem za kulala. The answer was no, never gonna happen.

Sakurlwa very very kind, ila nakuwa natoa ushauri wa kuumiza, mfano hujaoa una Amaka 36 wanao wataamza shule Akita na Amaka mingapi, waambie waoe
 
Back
Top Bottom