Familia imara hujengwa na baba dikteta na sio vinginevyo

Chai
 
Na wewe hasira zao utaziona ukizeeka, hakuna rangi utaacha kuona..!!

Picha linaanza mkeo anaenda kwa watoto wake kupumzisha akili na manyanyaso yako ya miaka yote.
Na watoto hawawezi kumpinga wanakumbuka ulivyokuwa..!!
 
Kila kitu kwa kiasi, udikteta ukizidi badala kujenga utaharibu kila kitu.
 

Nidhamu ndani ya familia ni muhimu, hilo halina mjadala. Lakini kuifanya familia iwe kama mfumo wa amri usio na majadiliano kunaweza kuleta utii wa muda mfupi, lakini siyo uelewa wa kudumu.

Tofauti kubwa ipo kati ya kuogopwa na kuheshimiwa. Mtoto au mwenza anaweza kufuata sheria kwa sababu anaogopa hasira zako, lakini hiyo haimaanishi amezielewa au anakubaliana nazo.

Uongozi wa familia unaofanikiwa kwa muda mrefu hujengwa kwenye mawasiliano, mfano, na uthabiti not hofu pekee.

Hata katika mifumo mingine ya uongozi, imeonekana kuwa udikteta unaweza kuleta utulivu wa muda mfupi, lakini mara nyingi huishia kuzalisha upinzani wa kimya au kuvunjika kwa mfumo huo baadaye.

Ndiyo maana lengo la mzazi halipaswi kuwa tu kufuatwa, bali kulea watu wanaoelewa kwanini wanafanya wanachofanya, even when hawapo chini ya uangalizi wako.
 
Lakini hua kuna siri gani kati unakuta binti anampenda sana baba ake afu kidume kinamkunjia mzee kinafunguq kwa mama chemistry iliyotumika hapa mh
Sijui ni kwanini mwenyewe namuona mama yuko busy na madogo wananiudhi😎
 
Kama unataka low confidence kids, this is your blueprint 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…