ZirlovimovicZirkov
JF-Expert Member
- Sep 3, 2025
- 358
- 575
This was a kind of family life in Europe around 1800s and early 1900s. Nilikuwa nasoma maisha ya wazungu hapo zamani nikakuta baba mwenye nyumba alikuwa anaogopeka mno. Zama hizi ni ujinga wa hali ya juu kufanya hivyo na matokeo yake ukubwani unaishia kuwa na watoto makatili na wauaji kama Samia. Athari zake zinakwenda mbali sana.
Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.
Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
Hakuna anayekuzuia kulea watoto wako kwa njia za kijima. Fanya hivyo na kama kuna faida utaipata wewe. Good lucky.Elezea pia ni kipindi Gani ulaya ilipata maendeleo?
Mapinduzi ya viwanda yaliyotokea kipindi Gani huko ulaya?
Kasome ripoti kwanini UK, na baadhi ya nchi za ulaya zinachukua walimu kutoka Africa.
Mkuu nikwambie tuu hujui unachokiongea, kasome ripoti zao za Sasa ndio utajifunza kama walikua sahihi au walipotea.
Sikatai mkuu ila hao watoto wenu ndio vibaka, mashoga na single mother.Hakuna anayekuzuia kulea watoto wako kwa njia za kijima. Fanya hivyo na kama kuna faida utaipata wewe. Good lucky.
Wewe unasumbuliwa na lack of exposure. Haya mambo uliyotaja, sehemu wanazolea watoto kwa mkono wa chuma ndiyo makao yake makuu.Sikatai mkuu ila hao watoto wenu ndio vibaka, mashoga na single mother.
Naamini kuna mahali tutaanza kupishana. Kuna mmoja ataongea lugha ya mwenzake au ataleta malalamiko.
Kwa msimamo wangu malalamiko hayatasikilizwa.
Baba dikteta alipatikana ila ndo hivyo hatunae tena.Hakika hichi kizaz kinahitaj baba aina iyo Kuna watu watakuja kupinga Kila kitu
Wewe unasumbuliwa na lack of exposure. Haya mambo uliyotaja, sehemu wanazolea watoto kwa mkono wa chuma ndiyo makao yake makuu.
Mkuu nimequote reply yako hapa naomba unijibu yale maswali yangu, alafu ndio nitakujibu hayo mambo ya exposure.Hakuna anayekuzuia kulea watoto wako kwa njia za kijima. Fanya hivyo na kama kuna faida utaipata wewe. Good lucky.
Hujauliza swali loloteMkuu nimequote reply yako hapa naomba unijibu yale maswali yangu, alafu ndio nitakujibu hayo mambo ya exposure.
NB: SIJIFUNZI KWA WALIOFELI.
Hujauliza swali lolote
Elezea pia ni kipindi Gani ulaya ilipata maendeleo?
Mapinduzi ya viwanda yaliyotokea kipindi Gani huko ulaya?
Kasome ripoti kwanini UK, na baadhi ya nchi za ulaya zinachukua walimu kutoka Africa.
Mkuu nikwambie tuu hujui unachokiongea, kasome ripoti zao za Sasa ndio utajifunza kama walikua sahihi au walipotea.
Hoja zako hazina uhusiano na ulichoandika. Nasema hivyo kwa sababu hayo maisha sisi tunayaishi tangu zamani na yametufikisha hapa tulipo, Kuhusu suji waalim kutoka Afrika, wewe endelea kuota. Au kusanya vijana w kitanzania waliosomea ualim wanaobugia vumbi la boda boda uwapeleke wakapige fedha.Angalia hivyo viulizo.
Nasema hivyo kwa sababu hayo maisha sisi tunayaishi tangu zamani na yametufikisha hapa tulipo,
Unabishana na reseach za kitaalam kwa kutumia hisia zako za mbugani? Mimi nazungumzia tafiti na matokeo yake. Kama kulea mtoto kwa ukatili inasaidia basi sasa Tanzania ingekuwa ndiyo nchi yenye wataalam na maendeleo makubwa. Lakini matokeo yake huko unakodharau ndiko wanakujengea hata choo cha kujisaidia. Wewe umebaki na makovu yako ya ukatili wa wazee wako.Hii kwangu ndio point, kwanza ni lazima ujue kutofautisha mambo.
Mwalimu wa wazee wetu alikua mkoloni, Sasa wazee wetu walirithi yale mambo ya kikoloni na walitumia ule ukoloni kuendesha familia.
Lakini katika huo ukoloni Kuna mambo yalikua ni mazuri na kuna mambo yalikua ni hovyo kabisa.
Binafsi naamini katika ukoloni wa wazazi wangu Kuna mambo Mimi binafsi yamenisaidia sana na hayo mambo nitayaendeleza hata kwenye familia yangu.
Moja ya hayo mambo ambayo nitayaendeleza ni kutokuleta demokrasia ndani ya familia. Yaani ukiwa chini ya paa la nyumba yangu utafuata kile ninachotaka. Na hili ndilo limefanya nisapoti huu uzi.
Nimemaliza mkuu
Ok.Unabishana na reseach za kitaalam kwa kutumia hisia zako za mbugani? Mimi nazungumzia tafiti na matokeo yake. Kama kulea mtoto kwa ukatili inasaidia basi sasa Tanzania ingekuwa ndiyo nchi yenye wataalam na maendeleo makubwa. Lakini matokeo yake huko unakodharau ndiko wanakujengea hata choo cha kujisaidia. Wewe umebaki na makovu yako ya ukatili wa wazee wako.
Akiondoka Baba tu watoto wanaporomoka wote, hii nimeshuhudia kwa watoto wa Shekhe mmoja alielazimisha kuoa mke wa pili kisha kuihama nyumba yake na kuhamia kwa mke mdogoKwahivyo hasifokewe mbele ya watoto😅
Ndio wanaume mtulie na familia zenuAkiondoka Baba tu watoto wanaporomoka wote, hii nimeshuhudia kwa watoto wa Shekhe mmoja alielazimisha kuoa mke wa pili kisha kuihama nyumba yake na kuhamia kwa mke mdogo
Wengi uzeeni wanaokoka ila mlima wanakua wameshaumaliza, unapoishi na kuku wanaokula mayai usicheke nao wakate midomo watashika adabu na huo ndio udkteta namba moja wengine watakuona km unawakatiri ila unawafundisha adabu na kuwanyoosha wakae kwenye mstari nakumbuka primary ukiwa huna soksi na kiatu hakijapigwa kiwi kuna Mwl. alikua anatembeza mboko sio kidogo ili kesho ujifunze kuvaa soksi na kiatu kipige kiwiWazee wengi waliotengwa na watoto wao zamani walikuwa madikteta
Na nyinyi mtulie wanawake mtulie nyumbani sio mnatokatoka kwenda kukitembeza mwisho yanawakuta, chanzo cha Shekhe kuoa mke wa pili ni mkewe kupigwa mande na wahuni sijui alijichanganya vipi, akaona isiwe kesi ngoja nimsake mwanamke mwingine akapata mwanamke mwenye mihela akaoa akahama nyumba yake akaenda kuishi na mke wa piliNdio wanaume mtulie na familia zenu