Yani mke wa mtu unakitembeza wapi? Sababu kubwa ni nini mpaka mwanamke anatoka? Itakuwa ni mwanamume wake..Na nyinyi mtulie wanawake mtulie nyumbani sio mnatokatoka kwenda kukitembeza mwisho yanawakuta, chanzo cha Shekhe kuoa mke wa pili ni mkewe kupigwa mande na wahuni sijui alijichanganya vipi, akaona isiwe kesi ngoja nimsake mwanamke mwingine akapata mwanamke mwenye mihela akaoa akahama nyumba yake akaenda kuishi na mke wa pili
Sababu unaijua wewe pale unapoamua kukitembeza, kuna bibi yangu alikua anasema kwamba mwanamke siku ambayo anaamua kwenda kuuzakuma ndio siku anayokutana na mkwewe akaenda kuinunua aichape na akampa aichape na akaichapa kwa hio anakua kaliwa na mkwewe, ndicho kilichomkuta mke wa ShekheYani mke wa mtu unakitembeza wapi? Sababu kubwa ni nini mpaka mwanamke anatoka? Itakuwa ni mwanamume wake..
Mkwewe ni nini? Halafu huyo bibiyo ni noma🤔Sababu unaijua wewe pale unapoamua kukitembeza, kuna bibi yangu alikua anasema kwamba mwanamke siku ambayo anaamua kwenda kuuzakuma ndio siku anayokutana na mkwewe akaenda kuinunua aichape na akampa aichape na akaichapa kwa hio anakua kaliwa na mkwewe, ndicho kilichomkuta mke wa Shekhe
Huyu jamaa Huwa simkubari sana ila alichokiongea Kwa kizazi chetu hiki isipokuwa hvy utalia baadaeHakika hichi kizaz kinahitaj baba aina iyo Kuna watu watakuja kupinga Kila kitu
Vipi kipindi cha udikteta wa baba tulikuwa tunaheshimiana? Au tulikuwa tunadharaukiana vipi pia maendeleo yalionekana?Baba dikteta alipatikana ila ndo hivyo hatunae tena.
Nikawiwa kufungua nightie maandiko yako.Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya nyumba yako afuate utaratibu. Kimsingi ukiwa BABA KATAA DEMOKRASIA NDANI YA FAMILIA. Udikteta ndo njia pekee ya kulinda kizazi chako kisiangamie.
Saa nyingine wasikilize wanachosema ila iwe kama maoni ambayo sio lazima kuyafanyia kazi. Familia inatakiwa i-fit kwenye mfumo wako. Kwa mfano toto halitaki kufanya kazi za nyumbani kama kudeki, kupiga pasi, nk anatakiwa akutane na hasira zako iwe fundisho kwake.
Unataka kusema kamuuaWanawake wengine wote mjifunze kwa huyu Mama mwanamke mwenzenu, Hongera sana Mamasamia, wanawake kama nyie ndio kizazi kilichopotea.