Naomba Malumbano na ndugu
kolola said: yaishe,tushaliongea via phone na tumemalizana,kiufupi tu ni kuwa aliniunganisha na mtu anayehitaji mtu wa IT,huyo mtu akanipigia simu mapema asubuhi,na mie niliondoka asubuh hyo nikaenda nje kidogo ya mji kufuatilia maziwa,nilikuwa kwenye baiskeli na kulikuwa na mvua sikusikia hyo call! Badae nilikuta missed call kadhaa za watu tofauti,Hata hivyo plan yangu ilikuwa nikitulia nianze fanya mawasilino nao,na hapo nikawa busy kuna walohitaji CV,walohitaji vyeti,nikatakiwa kutuma emails,wengine wakani ni interview via phone,call ya jamaa wa tigo ikaingia akinidadisi kama naweza fanya freelencer ya post paid vocha sales,inshort nilikuwa kwenye conversations nyingi,sasa ndugu yangu
kolola said akaona siko serious,lkn tushaongea na niombe kwa heshima,mvutano uishe na tulipokwazana tusameheane!