shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,068
- 3,507
Raha sana kuwa na mihela na watoto wengi.Hahahahah wanne wachache hivyo mi nilitaka watoto 5 kwa hali ya sasa ila ningekuwa na njia ya kuingiza 1B kwa mwaka ningezaa watoto wengi sana!
Hata 10 ingenipendeza ningezaa tu!