Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

Hivi wanalala kweli?

Maana wawili tu unaweza tamani mtu akushikie walau siku moja upumzike.
Ule umri wakianza kutembea tembea wakiwa wengi me naona inakuwa rahisi, they entertain themselves. Ukikaa na mmoja kakuganda hata shughuli haziendi anataka attention tu muda wote.

Me nilichowaza sana ni shuguli ya potty!! Too many butts to clean!
 
Technically hakuna faida yoyote ya kuwa na watoto wengi.

Ila kwao nadhani kuna faida sababu watoto ni mtaji.
I mean wanalipwa kutokana na ukubwa wa familia so yeah it make sense.
Ni kitu gani unaona kina faida kwako humu duniani?
Ambaye ana mtoto mmoja anapata faida gani kulinganisha na ambaye hana?
Je ambaye hana watoto lakini ana mahela na wanawake anapata faida?
Je ambaye hana watoto wala wanawake ila ana bonge la "database" kichwani kila siku anatunukiwa shahada za juu na kuvumbua vitu na kuandika vitabu anapata faida?
Je walioenda/wanaoenda kujitoa muhanga ili kutembelea anga za juu wanapata faida gani?
Je alieamua kuishi pekeyake milimani huko maisha yake yote bila kujihusisha na hekaheka za dunia anapata faida gani? Tunahangaika tu kila mtu kivyake mwishowe tufe tuwapishe na wengine wahangaike. Ubatili!
images (2).jpeg


Sioni kama child benefits ni "faida". Kwanza hata wenye mtoto mmoja wana haki ya child benefits, na hizo child benefits ni za kuwapa basic needs tu, mtu hawezi kuwaza kuzaa mtoto ili apate benefits. Wanaotegemea benefits pekeyake ni "maskini".

Sema nini, bakery inalipa😄
 
Back
Top Bottom