Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Ukiacha tu hivi vifo kisha ukasikia tu translation ya mkalimani utajua kama nchi bado tuna safari ndefu sana ya kwenda, ambayo kwa ubabe, kujimwambafai, kujikweza na kujiona right na bora kuliko wengine hatutaweza kuimaliza.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wasaidie Watanzania. Tanzania nchi yangu nakupenda sana [emoji24]
 
Walitumwa wangekaa nyumbani yasingewapata.
It's out of love for a man who loved them.Huwezi kuzuia. This signifies one thing,Magufuli alipendwa sana na wananchi wa kawaida.Wachache waliomchukia walimchukia kwa sababu zao binafsi.
 
It's out of love for a man who loved them.Huwezi kuzuia. This signifies one thing,Magufuli alipendwa sana na wananchi wa kawaida.Wachache waliomchukia walimchukia kwa sababu zao binafsi.
Acha ushetani wewe, hakuna aliempenda ila vitisho na ukatili tuu.
 
Kwa upande wangu watu wote ninaowafahamu waliopanga kwenda kuaga niliwakataza na wakatii,sababu najua mwili kama ule wenye mazindiko,damu na vilio vya watu wengi hauwezi kuondoka hivi hivi bila kutoa kafara.
Haswaaa, ogopa sana mijitu iliyojizindika sana. Inapokufa, mipepo yao inaondoka na watu. Makafara, matambiko na uganga waliofanya unatafuta damu za watu. Kilangila.
 
Propaganda tuu.
Nipe sababu zako wewe unazodhani ndizo zimewafanya wananchi wa kawaida waomboleze kifo cha Hayati Magufuli in this manner.Mpaka kutandika nguo zao barabani ili gari lililobeba mwili wake likanyage!This is unheard of and unprecedented.This must send a strong message to looters of our resources or the NWO cabal that we do not want interference in our internal affairs and that for them Tanzanian is off limits.
 
Acha ushetani wewe, hakuna aliempenda ila vitisho na ukatili tuu.
Upendo ni ushetani kweli na unaweza kutishwa na uka-omboleza kifo cha mtu kweli!That is news.Mtasema ujinga mwingi kwa sababu ya chuki na husuda mlizo nazo dhidi ya marehemu.
Ni ajabu kwamba mnageuza hata mema yaonekane mabaya.Nani alipanga kwamba wakanyagane.Ni ajabu sana.

Ninyi watu mmejaribu sana kuwafanya wananchi wa Tanzania wamchukie Magufuli for so long,lakini mmeshindwa.
Wananchi kumuombolezea Magufuli kwa kiwango hiki is yet another message to you,that you have failed and an endorsement of his policies.It will be wise for Mama Samia Suluhu to note this,the sooner the better.
 
Washamba hao ndiyo walikabidhiwa nchi. Bora nchi imerudi pwani kuna wastaarabu
Hii ni husuda tu na chuki binafsi mkuu.Na sikulaumu,kwa kuwa mawazo uliyonayo si yako yamepandikizwa,na kwa kuwa wewe huwezi kutenganisha mchele na pumba,umebeba kila kitu.Uwe na makapu mawili,moja la pumba na moja la mchele.In short be more diagnostic.
 
Tulia tusubirie na huku chato sijui mpaka tukazike itakuaje?
Hii reaction ya wananchi na jinsi walivyo omboleza kifo cha Magufuli,sends a very special and clear message to impostors and capitalists mkuu.What they are saying is,your hands off Tanzania and our resources are off limits.
 
Back
Top Bottom