Familia/ mtu binafsi zenye nguvu kiuchumi

Familia/ mtu binafsi zenye nguvu kiuchumi

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana.

Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha.

Watu walio Wengi wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya uchumi ila unapokua huru kiuchumi mambo yanakua safi kabisa.
 
Tafuta pesa kwa nguvu zote kwakuwa mwisho wa siku utazihitaji kwenye kila kitu
 
Back
Top Bottom