Familia nyingine ni za ajabu sana

Shida ni mama aisee kumuacha mama ni ngumu sana
 
Usitumie neno mama anasumbua niwajibu wako kwa mama yako kumsaidia,wazazi wanalea watoto zaidi ya kumi wanawahudumia vizuri lakini watoto kumi hawawezi kulea wazazi wawili.
 
Yatakayotokea:

1. Nyumba wahuni watauza tu.
2. Wasipouza, Mama akifariki.
3. Watauwana kwa ugomvi, Jela.
4. Au wataingia kwenye kesi za miaka.

Nyumba haina maana yeyote au faida kwenye familia isiyokuwa na maelewano.
Sawa ila wasiuze kwa sasa

Mama Angu mkubwa watoto walimuuzia nyumba yake aakiwa kwenye nyumba yake kkilichotokea alikufa kwa mawazo baada ya mtoto kushindwa kukaa na mama yake

Mtoto mwenyewe huyu analalamika hivi haya wakiuza iyo nyumba uyo mama si atakuwa anaangika huyu mtoa mada atakuja tena hapa kusema mama yake anakula sana oh hawezi ata kutoa vyombo alivyokula amemchoka what next atashindwa mvumilia atamchana mama yake ukweli mama atacama stress atakufa

Mzazi anaweza kulea watoto 9 kwa upendo ila mtoto kulea mzazi mmoja ni mtihani
 
Pole sana,ni kama mimi Upande wa mama....wao wamezaliwa 9 lakini wanaomtazama na kumkumbuka bibi ni mama na uncle tu....saba wako busy na mambo yao.sometimes kuzaa watoto wengi ni kujitwisha mzigo wa kaburi la mapema
Kabisa watoto wengi cio issue ni kuzaa wachache kuwahudumia vizur na wewe kujipanga kiuchumi na maisha yako ya uzeeni.wakusaidie wasisaidie watajua wenyewe.
 
sijamalizia kusoma ila kama utapata vihela hakikisha unapata hatimiliki ya ardhi yenu ili iwe salama zaidi, pia kama kuna nyumba tafuta namna ya kuiweka salama zaidi bado ya hapo mchukuwe mama yako kaa nae. Tafuta nyumba hata ya vyumba viwili tu, chako na kingine cha mama yako kaa nae ila kabla ya kumtoa mama kijijni hakikisha umewekea mali yenu yote usalama isije ikauzwa bila idhini ya familia yote. Pia kuwa makini sana na hao ndugu zako wawili maana binadamu tuna laana
 
Baba yangu akuwahi kufanya kazi yoyote isiyo halali na huo uzuni ni baada ya kujiona yuko peke yake kitandani akihangaika na roho yake huku familia yake aina chakula na watoto wake wakubwa pia ndio kama hivo tena
 
Nikushauri?
Tia sumu ya panya hao kenge wawili,problem solved
 
Wakimchukua ni mkubwa,hao kenge hawachelewi kumlilia hi mkubwa,naye ni mkubwa Kwa huruma anaweza lialia wayasaidie tena

Kikubwa tia sumu ya panya kupunguza jam
 
Sawa mkuu nimekuelewa sana
 
Shida sio kumlea mzazi shida ni hao ndugu zangu awataki kujushughulisha hata wakipata kazi pesa wanatapanya tu
 
Usitumie neno mama anasumbua niwajibu wako kwa mama yako kumsaidia,wazazi wanalea watoto zaidi ya kumi wanawahudumia vizuri lakini watoto kumi hawawezi kulea wazazi wawili.
Shida sio kumlea mzazi shida ni kulea na ndugu wengine ambao hawataki kujishughulisha na wakipata pesa wanatapanya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…