Familia nyingine ni za ajabu sana

Ndo maana nawashauri wanaume wenzangu, jitahidi upate watoto wa nje ya ndoa. Zaa na angalau wanawake wa 3 ili uchanganye damu. Maana usipo changanya damu unaweza kujikuta umepata hasara. Watoto wote wanakuwa hawana msaada. Kuna mjomba yangu alizaa na mke wake watoto 7. Aisee wote wamekuwa mazezeta hawaeleweki. Bahati yake alizaa nje mtoto mmoja huyo ndo amekuwa msaada wa familia
 
Mkuu hao sio vijana tena ni wazee tayari, kwahiyo mjitahidi sana kuwa saidia
 
Ukifatilia kwa makini utagundua hao ni watoto wa nje sio wa baba yako.
 
Kwani unashikiwa panga kutuma hizo hela
 
Kama kuna uwezekano, mchukueni bi Mkubwa muishi nae alaf nyumba pangisheni. Haya majamaa yaachieni chumba kimoja.

Hakikisheni hati na documents muhimu za nyumba mnazitoa hapo home. Baada ya hapo, hakuna tena sababu ya kuwatumia hela ya matumizi
Chukua huu ushauri utakufaa
 
Kama bi mkubwa anawatetea hao jamaa usimtumie kumi mwambie hata wewe huna.
Kwa nini uumie kwa uungwana wako?
Nimegundua ukiwa muungwana sana kwenye familia zetu unafanywa mjinga kama hivi.
Achana nao mzee pambana na Maisha yako na hakuna wa kukulaani sababu mko wengi kwa nini uumie wewe?
Mwambie aombe kwa mzunguko Kila mmoja amtunze mwezi mmoja baada ya miezi nane ndio zamu yako itafuata.
 
Mkuu inaonekana u have a very little understanding about women. Hakuna viumbe wajasiri wa nafsi kama wakina mama... kukaa mbali na watoto wake tena ambao wameshakuwa mababu wala haiwezi kuwa tatizo .. walaa
 
Mkuu inaonekana u have a very little understanding about women. Hakuna viumbe wajasiri wa nafsi kama wakina mama... kukaa mbali na watoto wake tena ambao wameshakuwa mababu wala haiwezi kuwa tatizo .. walaa
Mkuu endelea kujifunza maana wewe una mkia mbele alafu pia sio MWANAMKE kwa hio acha kuongea km MWANAMKE au umeanza kua Mpwayungu Village
 
Mchukue mama mlete dar, hakikisha anakula na kuvaa na kusindikiza uzee vyema, wengine achana nao
 
Kuna family moja,mzee wao kastaafu kaoa kibinti kimemzalia mapacha,na hicho kibinti kina watoto mapacha kwa baba mwingine na sasa ana mimba tena,,,,,,,,,,,,,,,,dada mkubwa ana watoto 3,hajaolewa,,,,,,,,, ,dada ana watoto 2hajaolewa,kaka ana watoto 4 hajaoa pombe tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,na wote wanaishi nyumba moja ya vyumba 3, na kula kwao wanamtegemea mzee wao apite kufanya vibarua vya kulima/kukwaa, Sijui wanalalaje[emoji2956]

Hawa watoto walichezea sana pesa baba yao alivyostaafu uaskari magereza, na kufanya biashara yeyote hawawezi.

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ulijuaje kama huyo mama kukaa na watoto wake inampa faraja wakati wewe sio mwanamke?
Nilikuona KENGE wewe na aliniambia mwenyewe siku nyingine punguza ujuaji utapakwa Blueband mtoto wa kiume
 
Maisha Fumbo baba aliwezaje watoto wameshindwaje? Jiulize hapo kwanza
 
POle sana mkuu. Nafeel maumivu yako. Ili kupata majibu hapo ni kuchukua maamuz magumu kweli kweli. Mi nilishawah kukutana na ishu inakaribiana na yako. Nilizima cm miaka 9 ndio nikapata jibu la jumla. Remember we live one's.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…