King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Jamaa alirudi home amelewa
Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late, kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana.
Mume aliwasha jiko la gesi kupasha kiporo saa tisa usikuMungu atusaidie tuvuke mwaka salama
GesiChanzo cha moto ni nini?
Mshumaa? Karabai,Chemli,Umeme,Kibatari,Mkaa,Kuni au solar au moto wa kichwawi.???.?