Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huu mwaka mtu akipona sijui
Only 3 days remaining ila hiyo komba komba yake[emoji848][emoji848]
Hivi kuna mahusiano ya vifo kuongezeka na mwisho wa mwaka Au ni dhana tu?
Huu mwaka mtu akipona sijui
Only 3 days remaining ila hiyo komba komba yake[emoji848][emoji848]
HAPANA tena LPG zimekuwa km zile Gas za choo cha binadamu au ng'ombe, ikivuja au kutoka inappotea haraka haibaki hewani, hata ukiiwasha utaona moto wakeHizi gesi pamoja na kupunguzwa ukauli bado zilinalipukaga kweli
RIP wote waliotukiwa na janga hiloAs its boiling point is below room temperature, LPG will evaporate quickly at normal temperatures and pressures and is usually supplied in pressurized steel vessels. They are typically filled to 80–85% of their capacity to allow for thermal expansion of the contained liquid. The ratio between the volumes of the vaporized gas and the liquefied gas varies depending on composition, pressure, and temperature, but is typically around 250:1.
Yeah!Mkuu mbona unawaza kwa level ya chini sana? Kwaswala hili ni kwamba Mme hajafia kwenye eneo la tukio alikimbizwa hospital possible alieleza kilichotoea ila hata kama wangekufa wote haizuii kwa wataalamu(wachunguzi) kujua chanzo cha moto(Forensic investigation).
Tena ajali za moto ni easy sana kujua source ni nini.
Too low!Siku zikifika zimefika, hakuna sababu ya kutafuta wa kumuangushia jumba bovu na kumpa lawama, asilaumiwe mume, asilaumiwe mke, isilaumiwe pombe wala kibiriti.
R.I.P marehemu wote, familia nzima kuteketea kwa moto inauma sana yani.
Asante!Uzembe huo Mungu hausiki hapo.
Nonsense!Moto wa gesi hauzimwi kwa fire extinguisher ndugu
Too low!
Hakuna cha siku zikifika zimefika!
Hizi ni kauli za Waswahili wenye upeo mdogo wa kufikiri.
Niseme kidogo, takribani 88% ya majanga kama haya husababishwa na matendo yetu sisi binadamu (Unsafe Acts), pia 10% ya majanga husababishwa na mazingira yasiyo salama ( Unsafe Condition) na hii 2% iliyobaki hatuna ubavu nayo ( sisi ni wasafiri hapa duniani). In short, 98% ya majanga yote yanaweza kudhibitiwa kama binadamu atakuwa serious.
Sawa mzungu.Too low!

Alirudi kalewa,kawasha gesi akaacha inatoka na kuanza kutafuta kiberiti..kuja kuwasha moto umeshika nyumba nzimaChanzo cha moto ni nini?
Mshumaa? Karabai,Chemli,Umeme,Kibatari,Mkaa,Kuni au solar au moto wa kichwawi.???.?