Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Sio wachaga tu mkuu. Watu wengi kipindi cha sikukuu huwa wanajitoa ufahamu mtu hata hajawahi kunywa anakunywa. Unadhani nini kitamkuta mtu kama huyo?Siku za sikukuu wachaga wengi wanakumbwa na majanga kwa sababu ya ulevi. Kuna wengine wawili tena vijana wa shule walilewa wakiwa wamelala mmoja wao akawasha sigara eti avute. Si akapitiwa na usingizi wa kilevi! Kilichofuata ni walizikwa wote! Dah imagine unazikwa ukiwa tilalila!