Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Inawezekana hata sio mlevi,labda ni mnywaji tu,pia na hizi sikukuu labda alitoka kwenye sherehe alialikwa.
Wakati huohuo najiuliza hiyo sherehe haikuwa na chakula mpaka aje kupasha kiporo?.
Imeshatokea wamekufa na hawana uwezo wowote Wa kujitetea tunavyo wajudge hapa.tuwaache wapumzike salama.
Wanawake wengine usipokula msosi alioupika atanuna mwezi mzima
 
Spiritually mji wa Moshi kuna roho za uharibifu sana na zinakuwa activated sana hasa mwisho wa mwaka.
 
Unataka kula chakula cha kuandaliwa na mkeo, rudi mapema kabla hajalala. Ukirudi saa 9 bila sababu ya msingi utajijua kwa kweli na hao wanaume wenzio unaowaogopa. Mwanaume mwenye familia, starehe hadi saa 9 usiku mweeeeeh
Jiko huwa ni Mali ya mwanamke ndani ya nyumba.
Hivi bahati mbaya unapika ukaungua utawaeleza nini wanaume wenzio.
 
Unataka kula chakula cha kuandaliwa na mkeo, rudi mapema kabla hajalala. Ukirudi saa 9 bila sababu ya msingi utajijua kwa kweli na hao wanaume wenzio unaowaogopa. Mwanaume mwenye familia, starehe hadi saa 9 usiku mweeeeeh
Ushahuri maridhawa kabisa huu aa kufungia mwaka.
Wanaume wenzangu tuufanyie kazi, nunua k vant yako wahi home mapema piga ukiwa home unaaangalia TV na familia.
 
Hapo umuhimu wa kuweka vioo kwenye madirisha badala ya kurundika grill kwenye madirisha na milango Moto ukiwaka huchomoki lakini kwa kioo Ni kupasua chap unaruka nje.
Ushauri jamani Kama una mkwanja Jenga nyumba bajeti ya grills peleka kwenye electrical fance. Angalau kupunguza risk ya vibaka.
Hii ya kujifungia na magrill ni kujitakia majanga bila kujua.

​
 
Haitakiwi iwe mazoea, mara moja moja sio mbaya
Hizi ndoa zetu za kiswazi ni shida mkuu.
Unafanyiwa timing tu,atajifanya anaumwa ukijikoki tu imekula kwako .
Huko kwenye vijiwe vyao salon huwa wanafundishana ujinga sana.
 
Unataka kula chakula cha kuandaliwa na mkeo, rudi mapema kabla hajalala. Ukirudi saa 9 bila sababu ya msingi utajijua kwa kweli na hao wanaume wenzio unaowaogopa. Mwanaume mwenye familia, starehe hadi saa 9 usiku mweeeeeh
Mwamba kala mtungi hadi saa tisa inaonekana alikua mtu wa mtungi sana kukesha baa kuna wenyewe afu ni mambo ya mabachela kulala baa...
Ukiona mtu kalala baa hata ka sikukuu ujue home hakupo vizuri kama ana mke
 
Poleni sana, mambo haya yaskie tu kwa mwenzio. Mwaka 90 tuko home na maza tukawasha moto ndani tupike nje mvua kibao kumbe yale mamikaa yana sumu kibao, tungekufa wote nilishtuka badae nikafungua mlango ndio ilikua pona yetu, Mungu yupo aisee.
 
Siku za sikukuu wachaga wengi wanakumbwa na majanga kwa sababu ya ulevi. Kuna wengine wawili tena vijana wa shule walilewa wakiwa wamelala mmoja wao akawasha sigara eti avute. Si akapitiwa na usingizi wa kilevi! Kilichofuata ni walizikwa wote! Dah imagine unazikwa ukiwa tilalila!
 
Ushauri uliotolewa msibani na RC Dr Anna Mghwira ni wa maana sana kwenye ujenzi wa nyumba kwa sasa kutokana na hii gesi/mabomu mnayolala nayo majumbani.
 
Hizi ndoa zetu za kiswazi ni shida mkuu.
Unafanyiwa timing tu,atajifanya anaumwa ukijikoki tu imekula kwako .
Huko kwenye vijiwe vyao salon huwa wanfundishana ujinga sana.
Ndio muache kuoa kutoka uswazi
 
Ujinga wa mlevi mmoja umesababisha maumivu na majonzi kwa wengi. ULEVI TU
KWELI WAHENGA WALISEMA
Drunkness is voluntary madness
 
Back
Top Bottom