King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
- Thread starter
- #141
Umri Baba,
Wanaume hatuna limit ya umri sisi hata 70+ unalamba mzigo na kupata watoto ila kwa wanawake mwisho 45-49 ikizidi hapo mtoto ngumu kupata.
Umri Baba,
HaaaaaWanaume hatuna limit ya umri sisi hata 70+ unalamba mzigo na kupata watoto ila kwa wanawake mwisho 45-49 ikizidi hapo mtoto ngumu kupata.
Watoto wa umrihuo wa miaka 70 wengi wanakuwa na mtindio wa ubongo,
jaribu kuongea warembo wa huku jf unaweza opoa kitu mafuta kabisa
Haaaaa
Haaaaa mtonyo kama sh ngap kijana?Hahaaa okay ngoja nijipange kwanza ,watoto wakare wanataka MTONYO ukienda na suruwali utaambulia maumivu tu.
Juzi tu umeshasahau au unataka tutaje majina plus maeneo?Wanaume hatuna limit ya umri sisi hata 70+ unalamba mzigo na kupata watoto ila kwa wanawake mwisho 45-49 ikizidi hapo mtoto ngumu kupata.
Haaaaa mtonyo kama sh ngap kijana?
Kuna mremboo humu anaitwa victorie jaribu kuchonga nae, anaweza kuwa wife to beMtonyo tu wa kuweza kumumantain mtoto mkare,uweze kumlipia kodi ya nyumba(Laki 3 kwa mwezi) ,fedha za matumizi elfu 20 kwa siku(laki 6) ,fedha ya umeme kwa mwezi elfu 90 ,bill ya maji kwa mwezi elfu 5 ,hela ya bundle/vocha elfu 60 kwa mwezi ,hela ya saloon elfu 80 kwa mwezi(elfu 20 kwa wiki) ,hela ya vijumbe elfu 2 kwa siku(elfu 10 kwa wiki) kwahiyo inabidi niwe na uhakika wa kutoa 1.3m kwa mwezi.
Kwa hiyo huyo jamaa angekunywa na kupata ajali ya gari ni nani angepaswa kulaumiwa !!!..Hili liwe funzo kwa wake. Kama mke angalimpokea mume wake kutoka huko kwenye maulevi yake, akambembeleza na kumwandalia chakula, haya yote yasingetokea! RIP familia hiyo ya Rombo.
Vibaka sasa, ila mimi nyumba ya kule Moshi kijijini nimeweka madirisha ya vioo ambapo ukifungua unapita mzima mzima unaangukia nje huko.Hata mimi Huu utaratibu wa mamilango ya chuma siupendi kiukweli, basi tu maisha ya kibongo yamekua hivyo
Mbona hulaumu aina ya hilo jiko la gesi la kutumia kiberiti? Itakuwa ni lile la kamtungi kadogo na juu ya mtungi kuna plate moja. Yale yenye plates 2 au 3 na yanatumia mitungi ile mikubwa wala hayahitaji kiberiti.Hivi nyie walevi mkishalewa si Mle na chakula huko huko? Ni mpaka mje msumbufu wake zenu wawapashie chakula?
Labda alikuwa anapasha roast au supu iliyobaki.... Sema huyo alivunja kanuni za walevi ukienda Bar... Kunywa pombe na upate nyama choma, mkia au mtura na ndizi. Sema na siku yako ikifika miti yote huteleza...Just imagine, mlevi na wali wapi na wapi??
Jamani hawa watu mkumbuke wanaishi mjini huko mgombani wameenda kuhesabiwa tuu, sasa labda mapoti hakuna, si unawaona ni vijana? Huko mjini ndiyo watakuwa wamejijenga kwa kila kitu.Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji120][emoji120][emoji120]Tuweke fire extinguishers ndani jamani sio ufahari ni kifaa muhimu cha uokozi hasa kama nyumba ina matumizi ya gesi na umeme kwa muda mwingi!
Poleni sana kwa msiba, Muumba awape pumziko la Amani marehemu.
Zinapoteza kumbukumbu na kichaa cha gafla juu kinakujia,asa hivi imekuwa gongo ya kiwandaniKvant zinazingua eti?? Mwenyewe jicho la kushoto saivi silielewi limeanza kupandà juu
Ndiyo ni tweensRIP, hao watoto wake ni mapacha nini? Mbona nguo zao ni sare sare?
Last week hii mambo ya kulewa na kurudi home kujifanya kupasha chakula karibu imtokee puani ndugu yangu mmoja.
Yeye alipasha hotpot la chuma akijua ni sufuria akakaa sebuleni akapitiwa na usingizi. Kilichomstua ni mlipuko baada ya hotpot kufumuka kutokana na pressure kuwa kubwa kutokana na joto.
Yani ngoma ilifumuka jiko lote likatapakaa moshi na mabaki ya mboga mboga mpaka kwenye gypsum board.