Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Wake zetu washatuzoea boss.Maisha yanaenda pombe ishakuwa perfume kwao ,we endelea kunywa chai na siagi si tunywe supu rahisi tu .kwenye pato la taifa wanywaji ni wachangiaji wakubwa


R.I.P kwa marehemu na familia yake
Namuombaga Mungu sana aniepushe na mlevi. Sitoweza mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Namuombaga mungu sana aniepushe na mlevi.sitoweza .mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mme mlevi harudi nyumbani, haijali familia, hafanyi kazi yoyote zaidi ya kulewa, mitaro inamuhusu, makovu yasioisha utakuwa umegundua kitu mpaka hapo. Upungufu wa nguvu za kiume na vitatu kila siku ni Siri ya mumeo utakae mpata na wewe. Dawa zipo pia, maana hakuna mtu mkamilifu ila kueleweshana ndio kunaleta ukamilifu. Mwisho wa siku unazoea hali, kama unataka kuwa hivyo hivyo it's your choice but lazima maisha yaendelee.
 
I send their family my utmost condolences. Kuna haja ya kutoa elimu juu ya njia sahihi ya matumizi ya haya majiko ya gas, hii si familia ya kwanza wala ya pili kukutana na janga la moto lililosababishwa na moto wa gas.
Televisions na redio ziandae vipindi maalumu kwaajili ya kutoa elimu hizi
So sad yaani
 
Siku zikifika zimefika, hakuna sababu ya kutafuta wa kumuangushia jumba bovu na kumpa lawama, asilaumiwe mume, asilaumiwe mke, isilaumiwe pombe wala kibiriti.
R.I.P marehemu wote, familia nzima kuteketea kwa moto inauma sana yani.
 
Hizi gesi pamoja na kupunguzwa ukauli bado zilinalipukaga kweli
Muwe waelewa gesi hazilipuki huo Ni uzembe tu au bahati mbaya
hata kiberiti tu kinaweza kuunguza nyumba bila gesi, mafuta ya taa au petrol
 
Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Wambie bana, unasign contract siku ya ndoa pale kanisani utaishi na huyo jamaa kwa shida na raha, leo hii unakengeuka.
 
Back
Top Bottom