Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Umuofia Kwenu wana JF,

Bonne Annee and X-mas!!

Ndugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto maeneo ya Sahare tanga! Mke na watoto mapacha wawili ndio walianza kufa na mme amefariki akiwa njiani anakimbizwa hospital KCMC kwa matibabu.

View attachment 1660824
View attachment 1660825
View attachment 1660826
View attachment 1660828
REPOTER KASOME NAMNA YA KUANDIKA HABARI HATA ZA NYUMBANI KWAKO UNATOA TAARIFA INAYOACHA MASWALI MENGI BILA MAJIBU HATA HIVYO MAMBO HAYO HUTOKEA KWA SABABU MKE AU MUME ALIPATIKANAJE KWA KUUMIZA WENGINE AU KUDHULUMU WENGINE NI NGUMU SANA KUTOKEA .
 
5W + H.
 
Wabongo bana duh.
Yani hawa wamekufa wote,chanzo hakijulikani ila mbongo anakwambia jamaa aliyafuta kiberiti masaa matatu ndo akakipata akawasha gesi.
Utadhani nae alikuwepo kwenye tukio dah.
Mkuu mbona unawaza kwa level ya chini sana? Kwaswala hili ni kwamba Mme hajafia kwenye eneo la tukio alikimbizwa hospital possible alieleza kilichotoea ila hata kama wangekufa wote haizuii kwa wataalamu(wachunguzi) kujua chanzo cha moto(Forensic investigation).

Tena ajali za moto ni easy sana kujua source ni nini.
 
Hivi ni sawa kuweka picha za watoto marehemu kihivyo? Mungu azirehem roho za marehemu.
 
Back
Top Bottom