cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,606
- 5,627
Ukisha mjua unaongeza Siku za kuishi au? Hujui kuna haki ya mtotoAcha uswahili asipoweka picha tutawajuaje marehemu,na hizo picha zina tatizo gani ingekua za ajali sawa lkn hazina tatizo lolote
Ukisha mjua unaongeza Siku za kuishi au? Hujui kuna haki ya mtotoAcha uswahili asipoweka picha tutawajuaje marehemu,na hizo picha zina tatizo gani ingekua za ajali sawa lkn hazina tatizo lolote
Kuna wanaume wengine hawapendi chakula Cha kukaa kwenye hotpot best, mi nilishaona familia moja mwanaume hata arudi saa 10 asubuhi mke ataamka ampikie Kama ni wali au ugali Ila Hali chakula Cha kukaa muda mrefu.Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Yaani urudi nyumbani ushakula ulipotoka.... unataka usifunguliwe mlango wewe...Kweli sijawahi kunywa pombe toka nizaliwa ila walevi inabidi wabadilike, kama una uwezo wa kunywa pombe si ununue na chakula huko huko tu? Uje umeshiba ulale!
Wanawake wanavumilia sana, Mlevi anakuja kale agonge mlango, aamshe mke asumbue apige kelele, Adai chakula, Maji ya kuoga, na Baadae alazimishe uchi!
Ujinga kabisa!
Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Yaani urudi nyumbani ushakula ulipotoka.... unataka usifunguliwe mlango wewe...
Wake zetu washatuzoea boss. Maisha yanaenda pombe ishakuwa perfume kwao, wewe endelea kunywa chai na siagi si tunywe supu rahisi tu. Kwenye pato la taifa wanywaji ni wachangiaji wakubwa
R.I.P kwa marehemu na familia yake
Ndugu yangu heri yako wewe unayewaza hayo! Kwangu kuna hotpot za kila aina na kila kitu, ila kwenye sufuria kama kawa nikirudi
historia = kumbukumbuHapa itabaki historia hakuna kumbukumbu.
we unatakaje? usifananisha KVant na vitu vya kipuuziNdiyo maana nachukia sana k vant.
Yaani mtoa post kaleta taarifa halafu anakimbia Uzi,
Anaendelea na k vant..zake..bila kujali.
Acha uzwazwa mkuu hujafa hujaumbika,kuwa nyuma ya keyboard usijione bora sana pumbafuu!Mchizi mbona ana makengeza?? Nway RIP
Oh Jesus christUmuofia Kwenu wana JF,
Bonne Annee and X-mas!!
Ndugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto uliotokana na gesi! Mke na watoto mapacha wawili ndio walianza kufa na mme amefariki akiwa njiani anakimbizwa hospital KCMC kwa matibabu.
=======
Ndugu zangu sisi familia ya Kimbi tumepata janga kubwa na msiba mzito ambao bila maombi hatuwezi kuukabili.
Ndugu yetu Sigifrid Sist Kimbi aliunguliwa na nyumba tarehe 25 kuamkia tarehe 26 na familia nzima wakiwa ndani wamelala. Bahati mbaya kabisa mkewe na watoto wetu wawili walifariki dunia siku hiyo hiyo kwa kuungua vibaya sana na moto huo.
Ndugu yetu alikimbizwa hospital na kuanza kupatiwa matibabu. Jana tuliendelea kuandaa mazishi ya mkewe na watoto ili tuwazike leo. Wakati tukijipanga jana jioni ndugu Sigifrid nae akafariki dunia. Kwa hiyo leo tunawahifadhi kaburini familia nzima ya Sigi Kimbi.
Kwa niaba ya familia tunawashukuru wote mnaoendelea kutushika mkono kwa chochote Mungu alichowajaalia katika kuhakikisha tunafanikisha mazishi haya. Tunaomba msichoke kutuombea maana jambo hili hi gumu mno ktk mioyo yetu. Peke yetu bila sala hatuwezi. Tunaendelea kuwashukuru sana.
Mazishi yatafanyika leo Uru Kisomboko karibu na Uru seminary. Mungu awalaze roho za marehemu pema peponi amina.
28/12/2020
View attachment 1660824
View attachment 1660825
View attachment 1660826
View attachment 1660828
Saa 9 usiku jamani? Mmmm shida sana, sasa hapo sijui ndiyo kazi ya Mungu haina makosa au uzembe wa binadamu huleta maafa?Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Yaani ni hatari zaidi ya hatari halafu ukute mpira unavuja Mungu wangu, na mipira wenyewe unatakiwa kutumia si zaidi ya miaka 5 na wengi hatuelewi hilo, pole kwa familiaDuh, gesi hainaga kuremba, yaani una operate jiko la gesi ukiwa tungi?
Uzembe huo Mungu hausiki hapo.Saa 9 usiku jamani? Mmmm shida sana, sasa hapo sijui ndiyo kazi ya Mungu haina makosa au uzembe wa binadamu huleta maafa?