Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Ndo tujifunze wanawake, baba akija apewe chakula, kiburi hakisaidii pia chakula Cha baba kiwekwe kwa hotpot
Nawewe unasema hayo? Labda mmekula mchana hata kama hotpot saa 9 usiku jamani, halafu kama yeye ndiye aliyewasha kwanini waanze kufariki wengine si yeye aliye washa jiko hapo,? Ni ajali tu!
 
Kuna wanaume wengine hawapendi chakula Cha kukaa kwenye hotpot best, mi nilishaona familia moja mwanaume hata arudi saa 10 asubuhi mke ataamka ampikie Kama ni wali au ugali Ila Hali chakula Cha kukaa muda mrefu.
So tusimlaumu huyu maana hatujui ya ndoani yalikuaje
Yaani hukakosea utasikia maviporo, wengine hata upike uweke mezani bila kumpakulia hali, yaani kila mtu ana tabia yake. Pole kwa familia jamani!
 
Yaani hukakosea utasikia maviporo, wengine hata upike uweke mezani bila kumpakulia hali, yaani kila mtu ana tabia yake. Pole kwa familia jamani!

Ukitoka kwenye mishemishe kama itazidi saa tatu haujarudi ni bora ule huko huko tu ili usisumbue wife kuanza kupasha viporo!!
 
Kwani kuna shuhuda wa hilo tukio zima kuhusu chanzo cha moto?
 
Mimi na jiko la gesi tupo tofauti kabisa na sitaki kulizoea. Hata nikioa ni mwendo wa mkaa tu.
 
RIP, hao watoto wake ni mapacha nini? Mbona nguo zao ni sare sare?
 
Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Wewe nani kakwambia hayo? Kama familia yote imeteketea kwa moto?
 
Wabongo bana duh.
Yani hawa wamekufa wote, chanzo hakijulikani ila mbongo anakwambia jamaa alitafuta kiberiti masaa matatu ndio akakipata akawasha gesi.
Utadhani nae alikuwepo kwenye tukio dah.
Halafu gesi masaa matatu haijaishia hewani tu?
 
Namuombaga Mungu sana aniepushe na mlevi. Sitoweza mwanaume mlevi au mwenye upungufu wa nguvu au mwenye kutaka vitatu kila siku sitaki.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hatakuja kuolewa! Jipange kuwa shangingi la mtaani na sisi wazee ndiye utakuwa chakula yetu! Mbona unajichanganya? Mara useme hutaki mwenye upungufu wa nguvu mara mwenye kutaka vitatu hutaki! Sasa unatakaje wewe?
 
...Mkuu, nataka kuamini kwamba baba alimuona mkewe amezidiwa na Use gizi na kwa mapenzi akaamua asimsumbue kwa kumuamsha....na ikawa mapenzi ya Mwisho. !!!
Mkuu inahuzunisha kwa kweli.
Mungu tu azilaze roho zao zipumzike mahali pema.
 
Back
Top Bottom