Kuni na mkaa ni wachafua na waharibifu mazingira.Mpikie kuni kama mimi
Mimi situmii jiko la gesi kabisa ,ni mwendo wa Mkaa kwakuwa nauza mwenyewe nina stock ya kutosha ,natumia jiko la mchina kwa ajili ya emergency tu labda kupasha chakula moto kilichobaki mchana au kama nataka nipike chai fasta sina muda wa kusubiri kuwasha mkaa.
Nilishakataa kabisa kuwa na JIKO la Gesi.......Kuna nyumba niliende kutembea yaani jamaa jiko kaliweka nje kabisa mbali na nyumba yake kubwa! Nyumba yake kubwa hakuna jiko la ndani kabisa.
Mbona hujaweka R. I. p weweeeDuh, gesi hainaga kuremba, yaani una operate jiko la gesi ukiwa tungi?
Sasa GT umeme wenyewe ni mgaoHata used zipo huna haja ya kuhangaika na kuwasha gesi wala hot pots
Tangu nije ulaya sijawahi ona Thermos, hotpot na ndooMicrowave.
Sio kiporo hicho weweInafikirisha sana mkuu, tena unaambiwa ni SAA tisa usiku, Baba alitaka kupasha kiporo, sasa sijui mke alimgomea.
Ha ha ha na ukiwepo mdogo hautoshi kufanya microwave ifanye kazi vizuri. Bongo nyoso kweli kweli!Sasa GT umeme wenyewe ni mgao
Hatari sana watu wanajua wamelewa alafu unafanya vitu vinavyohitaji attention huo ni upuuzi sanaaLast week hii mambo ya kulewa na kurudi home kujifanya kupasha chakula karibu imtokee puani ndugu yangu mmoja.
Yeye alipasha hotpot la chuma akijua ni sufuria akakaa sebuleni akapitiwa na usingizi. Kilichomstua ni mlipuko baada ya hotpot kufumuka kutokana na pressure kuwa kubwa kutokana na joto.
Yani ngoma ilifumuka jiko lote likatapakaa moshi na mabaki ya mboga mboga mpaka kwenye gypsum board.
Aisee we mjamaaMchizi mbona ana makengeza?? Nway RIP
Kuna tatizo gani mume akiwasha jiko kupasha chakula? Mmekariri vibaya malezi mabayaInafikirisha sana mkuu, tena unaambiwa ni SAA tisa usiku, Baba alitaka kupasha kiporo, sasa sijui mke alimgomea.
Wee waweza?Hili liwe funzo kwa wake. Kama mke angalimpokea mume wake kutoka huko kwenye maulevi yake, akambembeleza na kumwandalia chakula, haya yote yasingetokea! RIP familia hiyo ya Rombo.
Duuuh.....afuu kweli so inakubidi mtu upunguze mizux[emoji848]Kipindi cha sikukuu ,mara nyingi watu wanakuwa na mizuka ya ajabu sana ,siku za sherehe watu ndio watataka kufanya mambo ambayo hawajawai kufanya ,mtu hajui kuogelea anaenda kwenye swimming pool , mtu hajawahi kunywa pombe siku ya sikukuu atakunywa pombe, mtu hajawai kuchukua mlupo siku hiyo anaenda kuvagaa mlupo na kuganyaga miwaya ,watu siku hiyo ndio wanaweka miahadi ya "KUNYANDUANA"!!
Sasa katika situations kama hizo majanga mara nyingi huwatokea!!
Multi cooker ndio niniKuni na mkaa ni wachafua na waharibifu mazingira.
Mi gesi, umeme tu
Nunua multi cooker hutajutia, mkaa utausikia kwa jirani
Mi mwenyewe huwa najipikia wife asipokuwepo.Kuna tatizo gani mume akiwasha jiko kupasha chakula? Mmekariri vibaya malezi mabaya
Hili liwe funzo kwa wake. Kama mke angalimpokea mume wake kutoka huko kwenye maulevi yake, akambembeleza na kumwandalia chakula, haya yote yasingetokea! RIP familia hiyo ya Rombo.
TrueKuna tatizo gani mume akiwasha jiko kupasha chakula? Mmekariri vibaya malezi mabaya
Hovyo sana wewe, kwa hiyo ukamwamshe mke kisa akupashie chakula,. Ndo mana wabongo hatuendelei kila kitu afanye mwanamke.Hili liwe funzo kwa wake. Kama mke angalimpokea mume wake kutoka huko kwenye maulevi yake, akambembeleza na kumwandalia chakula, haya yote yasingetokea! RIP familia hiyo ya Rombo.
Moto wa gesi hauzimwi kwa fire extinguisher nduguTuweke fire extinguishers ndani jamani sio ufahari ni kifaa muhimu cha uokozi hasa kama nyumba ina matumizi ya gesi na umeme kwa muda mwingi!
Poleni sana kwa msiba, Muumba awape pumziko la Amani marehemu.