Familia nzima yawa Watawa

Hapo lazima kuna mabaharia tayari waisharekebisha kitaa
 
kweli mkuu angebaki hata mmoja wa kiume aendeleze ukoo.
 
'Body language' ya huyo mzee kwenye picha inazungumza yote haya....sad!
 
Thubutuuu, kizazi kitaendelea, kitaendeleaje mi sijui
 
Umeandika kwa hasira sana kaka [emoji34][emoji35]
 
Nimecheka sana na hata sijui nacheka nini? [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wazungu watatuuwa na dini zao, sisi tunafurahiya tukifikiria tumepata kumbe tumepatikana. Hakuna Mungu wa kweli anaesema usioe au kuolewa ili ufanye kazi yake. Ila itachukuwa mda kwa Mwafrika kuelewa.
 
Familia yenye watoto 9 wakike 6 wote masista wakiume 3 wote mapadre
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2470434
Uongo, uongo mtupu! Hii taarifa sio sahihi jamani. Kwanza hii ni familia ya baba Michael na Emma Marandu wa parokia ya Kiraeni na sio kilema. Pili sio masista wote walioko kwenye picha ni wa hiyo familia. Wapo 4 ambao ni wa familia . Wengine ni ndugu wa karibu. Hao mapadre ni mmoja tu wa familia mwingine ni paroko na jirani. Tatu familia ina watoto 8. Wasichana 6 na wavulana 2. Kati yao wasichana 4 ni watawa na mvulana 1 ni padre.

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Majibu kutoka kwa Padre anayewajua Hawa watawa na mapadre.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…