Hapo lazima kuna mabaharia tayari waisharekebisha kitaaHuyo baba kala hasara.
Biggest loss kwa mzee.
Mzee bora asingezaa tu.
Lengo la kuzaa ni kuacha descendants, watu watakaoendelea genealogy yako, you pass your genes ama DNA to the next generation.
Sasa kama unazaa halafu wote wanakua hivyo si bora usingezaa tu.
Maana yake huyo mzee kizazi chake kimeishia kwake, ni kama vile amekufa bila kuzaa.
Hasara tupu.