Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

Kuna wahindi wana roho nzuri kupita maelezo.Huwezi kusema ni wote.Huku kwetu Kuna mhindi ana utaratibu wake Kila baada ya miaka miwili anapita vijijini kutafuta vijana akawape maarifa ya mechanics katika gereji yake.Na kila group ya vijana wanaohitimu wanakuwa mafundi haswa walioiva na wanatoboa maisha kwa ufundi waliopata kwa mhindi upo weye?
 
Huko kwenu ni wapi?? au hakuna jina
 
Hao watu roho mbaya halafu wachawi ,washirikina sana.
Bara la Asia kuna hii jamii yote ya magabachori i.e. Wahindi, wapakistani, wachina etc bila kusahau baba lao waarabu. Mijitu mibaguzi sana kwa waafrika na roho katili. Lakini ikiwa na shida iko tayari kulamba miguu yako ili tu itimize lengo lake.
 
hovyo sana ukiajiriwa na hao watu kutoboa utasikia kwa jirani

wanatabia ya kuleta muhindi mwenzao ambae hajui kitu anakua karibu yako ili kujifunza ukiondoka tuh anabaki kama kishoka
 
Kuna muhindi mmoja fala sana,kuna siku nilitaka kumngo'a shingo.
Nae aliajiri wahindi wenzie anawafuga km kuku bila kibali.
Toka yao ni kuingia jikoni kupika then kurudi mabandani kwao.
Chakula chote wateja wakibakisha mnaweka mahali mnavikusanya.
Badae wanapasha vinaliwa.
Ole wako uonje.
Tip anachukua yeye eti ntawagawia,badae Ola.
Staff mnaletewa wali maharage
Daily na mama ntilie.
Sijui alinikera nini aisee nilimkaba ghafla tu hakutegemea.
Mpaka natoka pale niliruka ukuta nikatambaa.
Siku naenda nikakuta barua ya kuachishwa kazi kwa mmasai.
We niliwaka nipewe stahiki zangu
Mpk walinipa.
Maana nilisema ntapiga mawe magari yote yanakuja getini hapo.
Ndio wakalipa nyau wale.
 
Jana Na Leo kuna Habari ilisambaa kwenye Mitandao now imewekwa BBC kuhusu Tajiri namba moja UK mwenye asili ya INDIA Ajay Hinduja kufungwa miaka...
Wahindi wale wanafundishwa kwenye dini yao kwamba mtu masikini kazaliwa masikini iki amtumikie tajiri.

Kwamba tajiri ana haki ya kumtumikisha masikini kwa sababu masikini kazaliwa awe masikini tu.

Caste system. Wa chini atakuwa chini daima na wa juu atakuwa juu daima.

Ni suala la kiutamaduni na kidini.
 
Waafrica sisi tupo kama mazezeta! Kwanza hatupendani kabisa! Halafu tuna roho za kujipendekeza sana kwa hawa wajinga waarabu,wahindi na wachina!

Ukiona mtu anajipendekeza kwa mwarabu yupo radhi kushikwa hata matak** na hao wajinga kwasababu za dini!

Kariakoo kama hawa wachina wanauza hadi henkachief za reja reja na serikali ipo kimya kwa kuogopa kuwaudhi!

Hawa waarabu sasa hivi ndio wenye nchi! Kila kitu rasilimali za nchi wamechukua wao!! Sisi tupo tu! Hata mradi wa mwendokasi tu umetushinda! Tunachojua ni wizi, ushirikina,uongo,uzinzi, fitna, kushangilia ujinga wa Simba na yanga!!

Naona hapa hata vijana wanasema hata wakoroga mchuzi na kupika chakula wanatoka india! Yaani mijinga ya kihindi inakuja kusimamia kupika na kutandika vitanda!! Nchi hii ya kijinga sana! Harafu unakuta majitu yamevaa suti,na kuendesha magari ya gharama! Kwa kodi za wananchi.
 
Hii race nimekaa nao sana kifupi wengi wao ni wabaguzi sana wanabaguana hata wao kwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…