ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Doh wamemvua ubingwa so sadKuna matajiro wa hapa tz dada yao alikazwa na mbongo dada yao kakolea kwa mswahili si walimkamata jamaa wakapasua spika ...wangese sana jamaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doh wamemvua ubingwa so sadKuna matajiro wa hapa tz dada yao alikazwa na mbongo dada yao kakolea kwa mswahili si walimkamata jamaa wakapasua spika ...wangese sana jamaaa
Hatar mkuuYes ila wanalika
Huko kwenu ni wapi?? au hakuna jinaKuna wahindi wana roho nzuri kupita maelezo.Huwezi kusema ni wote.Huku kwetu Kuna mhindi ana utaratibu wake Kila baada ya miaka miwili anapita vijijini kutafuta vijana akawape maarifa ya mechanics katika gereji yake.Na kila group ya vijana wanaohitimu wanakuwa mafundi haswa walioiva na wanatoboa maisha kwa ufundi waliopata kwa mhindi upo weye?
Bara la Asia kuna hii jamii yote ya magabachori i.e. Wahindi, wapakistani, wachina etc bila kusahau baba lao waarabu. Mijitu mibaguzi sana kwa waafrika na roho katili. Lakini ikiwa na shida iko tayari kulamba miguu yako ili tu itimize lengo lake.Hao watu roho mbaya halafu wachawi ,washirikina sana.
Kupasua spika ndo nini?😄Kuna matajiro wa hapa tz dada yao alikazwa na mbongo dada yao kakolea kwa mswahili si walimkamata jamaa wakapasua spika ...wangese sana jamaaa
Jamaa walifanya jambo baya sana akiruka kichura lazima achafue chupi na kupiga miruzi🤣🤣🤣🤣utakua umejua walifanya nnKupasua spika ndo nini?😄
Lakin wachina wamekupa elimu Yao pamoja na, roho mbaya zao
Wahindi wale wanafundishwa kwenye dini yao kwamba mtu masikini kazaliwa masikini iki amtumikie tajiri.Jana Na Leo kuna Habari ilisambaa kwenye Mitandao now imewekwa BBC kuhusu Tajiri namba moja UK mwenye asili ya INDIA Ajay Hinduja kufungwa miaka...
Wafanyakazi wa kitanzania huwa wanafanya kazi miezi 3 vizuri siku zinavyoendelea huwa wanataka na wenyewe kuwa ni part ya umiliki ukiendanao kilokole jiandae kufunga biasharaBila tabia za kihindi hutoboi, wabongo watataka wakurudishe nyuma
Hapa duniani we ye roho nzuri na ustaarabu ni wazungu na wajapan.Wazungu ni nyoko
Hili nalo nenoAcheni kufanya kazi kwao wakuu,
Au anzisheni miradi yenu.