Familia ya Bashar Assad

Familia ya Bashar Assad

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
Screenshot_20241209_204704_Chrome.jpg

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Russia ni stop-over. Final destination ni Dubai
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.

Aishi Dubai halafu wayahudi wamzingue? Israel sasa hivi wanamtafuta jamaa mpya wakae naye sawa. Hezbollah kifo cha mende. Iran, ndio next target
 
Wameshakula sana mema ya nchi.
Na pesa wanazo za kula na kusaza.
Bila shaka hawana cha kupoteza
Wamepoteza madaraka na nyumbani. Kule mambo yanaweza kubadilika wakajikuta ICC bila kutegemea. Nimejifunza kuwa madikteta kama. akina Biya, Museveni, Eyadema, Kagame , Obiang, na wengine ni vishada vya maua. Wanatumia ukatili lakini hawana majeshi kwani nayo yanawachukia.
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Kanzu, hijabu, nikab, baragashee yoote tupa kule kwa wapenda bikra wenye sigida.
 
Mzuka wanajamvi!

Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion.
View attachment 3173356

Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez.

Angalau wangekimbilia Dubai wale bata la uhakika hadi mauti kuliko urusi kumepoa ambapo mamilionea na mabilionea wanapatoroka.
Russia kuna starehe zote!,
Starehe ni nini?
Starehe ukishaizoea haiwi starehe tena, unaenda kwengine!
 
Back
Top Bottom