Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

Mbona wengi tu walilipa na wakafutiwa kesi zao mahakamani, hata yule Rugemarila wa VIP engineering alikuwa kichwa ngumu tu, ila nae angeshaachiliwa
 
Kwa hiyo familia ya Kikwete ilienda kupiga magoti kwa Rais Magufuli?.
 
Saa nyingine mnaandikaga kufurahisha mägenge tu Kama huna Taarifa uliza

Magufuli alipitishwa kwa lazima Na KIKWETE hakuna cha kuzidiwa nguvu Na alishamuandaa yeye Na Big toka 2014 lakin story za Benad Membe sijui mnazitoaga wapi

mengine kabla hamjaandika muwe mna tu PM tuwasahihishe msionekane maandika tu madudu


Pitia hizi

 
We elewa Magufuli alikua Mzalendo. Huko kwingine kichwa chako ni kizito sana kuelewa
 
Unapenda tuwe na watu kama makonda na sabaya? Au yule anayesema mukichagua upinzani sahauni mimi kuwaletea maendeleo jimboni kwenu? Au yule aliekabomoa nyumba dar ila kule mwanza akadai wasibomolewe kisa walimpigia kura?
Ungeenda shule na ungekuwa na uzalendo pia shule yako ingekusaidia ungeelewa.

Ukweli ni kwamba sio Matajiri wanachukiwa... tatizo wengi wenu ni wajinga wajinga sana! Anyways... kama hapa umeshindwa kuelewa hutaelewa tena baki na ujinga wako na wewe jipendekeze kwao
 
Ndugu zanguni hebu tujifunze! Tangu lini mtu akakumbwa na kesi au kosa la kukwepa kodi kisha akalipa na akalipa faini juu kisha wakatangaza zimelipwa benki fulani na aliyeidhinisha ni fulani bin fulan... tangu lini?! Au ni nchi gani duniani ulisikia ewe kichwa mchungwa Mtanzania limbukeni?!

Sasa ya nini kuendelea kuhoji walilipa lakini hamkuziona au hamkusikia walipewa kina nani... mtu anayetoa majibu haya ewe mleta mada unamuona ana akili timamu kweli kichwani huyo?! Nimekuwa hapa Jamii forums kwa miaka kadhaa na kumiliki akaunti kwa majina tofautitofauti, kitu ambacho nimekijua na nazidi kukijua sisi watu weusi ni wanafiki!, wajinga!, mabaramaki!, na watu tusiotaka kujikubali na kupenda vyetu pia ukweli hatuutaki tunataka konakona na uchawa tu!
 
So hujui lolote kuhusu takwimu,unaharisha tu humu!?
 
Unamjua CAG? Ni nani!?..mbona povu,shida nini,umekumbuka nini!?
CAG na mjua ila nataka kwenye report ya huyo CAG page gani ya report yake inasema 1.5T zilipotea?

Nataka nijue ulisoma report au ndio ulisimuliwa na ww ukaibeba kama ilivyo.
 
CAG na mjua ila nataka kwenye report ya huyo CAG page gani ya report yake inasema 1.5T zilipotea?

Nataka nijue ulisoma report au ndio ulisimuliwa na ww ukaibeba kama ilivyo.
Itakua CAG alikua kichaa kusema zilipotea,kuhusu document,yule mgonjwa akili wako unaetokwa povu kumtetea alikua gwiji wa kupindisha mambo,uongo meingi
 
Itakua CAG alikua kichaa kusema zilipotea,kuhusu document,yule mgonjwa akili wako unaetokwa povu kumtetea alikua gwiji wa kupindisha mambo,uongo meingi
CAG usimlishe maneno hajawahi tamka hivyo na wala kwenye report yake sijaona, ila kama ww umeiona kwenye report ni ambie ipo page ya ngapi tuongee kwa reference.
 

Unaweza kuthibitisha hilo la wizi wa 1.5 trio!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…