Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.

Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.

Mo anafirisika taratibu tangu atekwe

Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
 
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi,aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje?

Kila mtu analijua hili
 
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi,aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje?ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo,
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Mkuu, kwani kuna ubaya simba akiishi jangwani?
 
Hata mmiliki wa Liverpool n shabiki wa man United

N bongo tu ukiwa shabiki wa timu hasimu hawapend kuona ukiwekeza timu yao

Bro mpira n biashara s ushabiki maandazi
Wewe peramiho uliza huko songea walikozaliwa na kukulia kina gharib hao jamaa ni timu gani
 
Wewe peramiho uliza huko songea walikozaliwa na kukulia kina gharib hao jamaa ni timu gani
Haijalishi mkuu kikubwa wao wanafanya biashara na wanaona wanapata faida na malengo ya timu yanatimizwa

Ndio Kwanza nasikia kwako kuwa n wazawa wa ruvuma nasikia wazawa wa tanga songea walienda kuwekeza katka kilimo
 
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.

Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.

Mo anafirisika taratibu tangu atekwe

Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini?
 
Back
Top Bottom