Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo ni tapeli tu thamani ya Simba ni mabilioni ya kutosha sio hizo alizosema yeyeLeo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.
“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga
Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
Tulikuruhusu utoke Milembe tukiwa na matumaini kuwa umepona kumbe kimeanza tena!Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
Alikuwa amepona kumbe kimemuanza tena!Makolo wanabadilisha motion tu,mpole,sopu,mayele wa kawaida,manara afungiwe sasa wanakuja na GSM eti ni mkia,muda si mrefu watakuja na aliko dangote nae ni kolo,mirembe waongeze vitanda maana makolo wanapoelekea sio kuzuri
Morison na Manara wanaendeleaje hapo kwenye dampo la vichaa?Makolo wanabadilisha motion tu,mpole,sopu,mayele wa kawaida,manara afungiwe sasa wanakuja na GSM eti ni mkia,muda si mrefu watakuja na aliko dangote nae ni kolo,mirembe waongeze vitanda maana makolo wanapoelekea sio kuzuri
🤣🤣🤣 Bibie ulipotelea wapi ulikuwa kimya SanaSo what?
Utopolo mbona mnateseka sana? Nyie mabingwa wa kihistoria ya madimbwi endeleeni kushangilia ushindi acheni simba tubwabwajeMakolo wanabadilisha motion tu,mpole,sopu,mayele wa kawaida,manara afungiwe sasa wanakuja na GSM eti ni mkia,muda si mrefu watakuja na aliko dangote nae ni kolo,mirembe waongeze vitanda maana makolo wanapoelekea sio kuzuri
Wanasherekea ubingwaMorison na Manara wanaendeleaje hapo kwenye dampo la vichaa?
Ni wazaliwa wa Songea, hasa watoto. Sio yule babu aliyefariki.Haijalishi mkuu kikubwa wao wanafanya biashara na wanaona wanapata faida na malengo ya timu yanatimizwa
Ndio Kwanza nasikia kwako kuwa n wazawa wa ruvuma nasikia wazawa wa tanga songea walienda kuwekeza katka kilimo
Songea ya wapi hao kwao Tanga songea walihamia tuNi wazaliwa wa Songea, hasa watoto. Sio yule babu aliyefariki.
Labda elon musk wa buza kwa mpalangeHata Elon Musk ni mwana Yanga haswa na ana lengo la kutangaza biashara kupitia timu yake pendwa
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
una ushahidi wa hayo usemayo?Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
una ushahidi wa hayo usemayo?